vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,231
Niko njiani lakini mpka waje kunipokea duuhSi ufyatue watoto mkuu watakuwa wanakusubiri stendi kabisa kukupokea
Kwahyo unataka kusema mke wa jamaa mboga hapendi?Kama unataka kupokewa jaribu kununua vitu anvyovipenda mke wako
Huyo mwanamke hana adabu! Na kama alikuwa na hiyo tabia toka wakiwa wachumba na akaivumilia basi asilalamike!
Nakuelewa sanaHiyo tabia ya mwanamke kukaa barazani nayo sio nzuri! Hao wanawake wangekuwa wema wangemwambia kampokee mumeo!
Lakini jamaa amesema amemuambia mara kibao lakni mke wake haonekani kubadilikaHuyo mwanamke hana adabu! Na kama alikuwa na hiyo tabia toka wakiwa wachumba na akaivumilia basi asilalamike!
Angemrekebisha kabla hajaingia kwenye ndoa!
Sawa mkuu
Amemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!Lakini jamaa amesema amemuambia mara kibao lakni mke wake haonekani kubadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kumuambia na kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa hata mume wako akuudhi vipi haitakiwi umnyime unyumbaAmemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!
Kuna vitu vidogo tunavyopuuzia wakati wa uchumba ambavyo vinatugharimu tukiwa kwenye ndoa!
Imagine mke hampokei mume, unadhani ataweza kumwambia pole?!
Hahaha hahaha hahahaWanaume bwana, kama walemavu.
Kwa nini iwe ngumu kumwambia?!Ni ngumu kumuambia na kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa hata mume wako akuudhi vipi haitakiwi umnyime unyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachumba hawaishi pamoja dada. Utazijua tabia za mtu pale mtakapoanza kuishi pamoja rasmi. Uchumba Raha sana kila mtu pretenderHuyo mwanamke hana adabu! Na kama alikuwa na hiyo tabia toka wakiwa wachumba na akaivumilia basi asilalamike!
Angemrekebisha kabla hajaingia kwenye ndoa!