- Thread starter
- #21
Dunia ina mafunzo mengi....ila muombee mazuri ili mwanao aje kufaidi vya baba yake
Muda huo sina,kila mtu aubebe msalaba wake
Before ndio nilikuwa namwombea mabaya but since nimove on hata simwombei heri wala shari
Dunia ina mafunzo mengi....ila muombee mazuri ili mwanao aje kufaidi vya baba yake
Yatakuhusu mpaka mwisho, ndio baba wa mtoto wako.Nipate
Nipate faraja ya nini?maisha yake hayanihusu
Atakate achoke it's none of my business
Unauhakika na wa sasa?
Yatakuhusu mpaka mwisho, ndio baba wa mtoto wako.
Damu yako na yake zimeungana mkapata huyo mtoto. You cant deny that.No hayanihusu
It's him and his son
Chapter closed
Unaakili sana weweYawezekana huyo alikuwa na nguvu ya ziada underground ndo maana yakatokea hayo.
Pole,ila tambua kuwa wanaume huwa hawaogopi hali zao walizonazo.Huyo Jamaa atakuwa amefurahi kukuta mwanae yupo mazingira mazuri yasiyo mpa mawazo pindi awapo kwny kupambana huko.Maisha ni mlima
Ila jamaa umemwandikia thread nyingi JF, Naamini akitaka Kukumbushia hautamnyima, single mothers Ndio maana tunawaogopa
Damu yako na yake zimeungana mkapata huyo mtoto. You cant deny that.
Ila kwa uzoefu wangu akiomba sorry akitaka papuchi hupindui, ndo mana unapenda awe anakuja kumcheki mwanae huenda kuna siku mtakua wawili tu.