Imebaki story

Imebaki story

Inawezekana kuchoka kwake ndo kunakupa nguvu yavkumuandika humu... under normal circunstance, yeyote uliyeachana naye kwa ugomvi, unamwomnea yamkute tukuamini kuwa kwa kukamatika kwao wataona walichopoteza...

Nimesema i used to
Not anymore
 
ndani ya 6 months umeeachana na mzazi mwenzio na tayari una mahusiano mapya.....ok kaza but....ila kama unamruhusu kumjulia hali mtoto ..imekaa njema..... by the way kitu kinachotusumbua ni namna ya matunzo ya mtt,,, but akiwa ktk mikono salama...walaaa hatunaga maumivu....

I have every right to leave my life
Sina time na dead beat father
 
Kila nikisoma bandiko lako humu JF, inaonesha bado huyu jamaa ameuteka moyo wako kwa silimia 100%, unachokifanya ni kujaribu tu kujipa faraja kwa lazima. Msondo walisema, MMEKWISHA ZAA NYINYI SASA NI NDUGU, no matter how, atakuhusu tu for the rest of your life.
 
Back
Top Bottom