Imebaki SEXY Legs tu! mweeeeee....

Imebaki SEXY Legs tu! mweeeeee....

Erotica

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
2,513
Reaction score
1,735
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena
kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina
chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi
kunyanyuka wala kuketi sababu eti MziziMkavu kasema niwe bed rest. Sina hakika na ujuzi wao.

In shoti mvuto wangu, uzuri wangu na my SEXY body vimepotea kama ndoto.
Hadi kiuno kimepotea siwezi hata kuvaa urithi wa shanga za bb. nimebaki nazivaa miguuni
tu na mkononi. Kinachonipoza saizi ni miguu yangu ambayo haijabadilika hata kdogo.
Nimebadi tu na my sexy legs, nimeona niweke ushahidi wa picha yangu.



Ushauri pliiiz! nifarijini, nipozeni na nibembelezeni nijisikie vizuri. lara 1 upo mamito? come this way.............


No mwaaaaaaaaaah! hali mbaya :A S cry:
 
Last edited by a moderator:
Jipige picha na kifuani....nipate comment vzr


nikiipiga nikaweka hapa nitajiona, nahisi nikiiona

nitajisikia kufa. siwez labda uje unipige ww Boflo.
 
hilo poz lakuonesha sexy legs kama unatumbo la mimba mguu haupindi hivyo inaonekana ushauri wa MziziMkavu umeutupa kule..

BTW vumilia tu soon utarelax with your boy na muite my name sawa Erotica
 
Last edited by a moderator:
Dah kidume kakutuliza ghafla.......!!!!
Ndo ukubwa huo....!!!
 
hilo poz lakuonesha sexy legs kama unatumbo la mimba mguu haupindi hivyo inaonekana ushauri wa MziziMkavu umeutupa kule..

BTW vumilia tu soon utarelax with your boy na muite my name sawa Erotica

ni wa kike watoto. Doc mziz alishafanya altra saundi, nimebeba wawili wa kike.
 
teh teh teh. sio kweli, mimba ndio imenituliza!
A%20S-heart-2.gif
It is not SEX that gives Pleasure, it is the LOVER!
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
SEX relieves tension, LOVE causes it, Marriage multiplies it!
A%20S-heart-2.gif
 
jinsi huo mguu wa kushoto ulivyouweka kwa mashamsham ni kama nyanda za kaskazini mashariki kuna kidume kinaendeleza libeneke vile...
 
Kula zabibu utoe majibu.
Ndo mamako ulivyomuharibu shape the same way. Its high time uwe karibu nae kama yupo, umuambie unampenda na kumthamini.
 
Back
Top Bottom