Miguu haijavimba kweli Erotica? Ninavyojua miye kuwa kuvimba masti ukizingatia wewe ni kukaa na kulala tu...........halafu hapo bado shughuli ya kupunguza mwili baada ya kuzaa
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena
kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina
chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi
?kunyanyuka wala kuketi sababu eti MziziMkavu kasema niwe bed rest. Sina hakika na ujuzi wao.
In shoti mvuto wangu, uzuri wangu na my SEXY body vimepotea kama ndoto.
Hadi kiuno kimepotea siwezi hata kuvaa urithi wa shanga za bb. nimebaki nazivaa miguuni
tu na mkononi. Kinachonipoza saizi ni miguu yangu ambayo haijabadilika hata kdogo.
Nimebadi tu na my sexy legs, nimeona niweke ushahidi wa picha yangu.
Ushauri pliiiz! nifarijini, nipozeni na nibembelezeni nijisikie vizuri. lara 1 upo mamito? come this way.............
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena
kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina
chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi
kunyanyuka wala kuketi sababu eti MziziMkavu kasema niwe bed rest. Sina hakika na ujuzi wao.

Pole sana wifi @Etorica. Hii ni hali ya kawaida wala isikupe uchungu sana. Na madhali kaka HYGEIA yupo, mambo yako yatakuwa shwari sana.This is the sweet price we women pay to bring forth a life. Be proud wifi!
Mwenzio nilikuwa na matatizo ya kifamilia! Ndo nimeingiaaa! Unayosema yote kweli shostiii, hapo ndo kwanzaa kazi inaanza! Bado huchachoshaaa! Ushauri ukishashusha ENGINE usiache kupita kwa CHINESE kwenye mambo yetu yaleeeee! Kila kitu kitarudi kuwa sexxy kama mwanzo!
Uburudike na wimbo wa destiny childs ubeti wa Kelly kutoka mitaa ya MIAMI
" i promise yah, to keep myself up, remain the same chick you fell in love.i will keep it tight, i will keep my figure right, i will get my hair fixed.....lolest"WHEN YOU COME HOME LATE TAP ME ON MY SHOULDER I WILL ROLL OVER""Sio unaanza makelele, ulikuwa wapiiiiii ???? maugomvi saa nane usiku...hahahhahahahah
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena
kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina
chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi
kunyanyuka wala kuketi sababu eti MziziMkavu kasema niwe bed rest. Sina hakika na ujuzi wao.
In shoti mvuto wangu, uzuri wangu na my SEXY body vimepotea kama ndoto.
Hadi kiuno kimepotea siwezi hata kuvaa urithi wa shanga za bb. nimebaki nazivaa miguuni
tu na mkononi. Kinachonipoza saizi ni miguu yangu ambayo haijabadilika hata kdogo.
Nimebadi tu na my sexy legs, nimeona niweke ushahidi wa picha yangu.
Ushauri pliiiz! nifarijini, nipozeni na nibembelezeni nijisikie vizuri. lara 1 upo mamito? come this way.............
Mimba ni kama upepo unaovuma, baada ya muda hupita! kumbuka kuwa hakuna short cut route kwenye kupata mtoto, lazima upitie haya unayoyasema vingenevyo labda uamue kuadopt!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.