MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Umri wa mtume Muhammad (s.a.w) aliishi ulimwenguni miaka siku (22680) sawa na saa (544320) Na pia kasema hatokaa kwenye mbili za Akhera kiama kitatokea.. Na kumbuka siku moja ya akhera ni sawa na miaka elfu moja ya duniani, pia mtume (saw) amesema hamtoishi ktk tumbo la ardhi zaidi ya miaka 1500 ya kalenda ya kiislam, hadi sasa ni miaka 1433, na kwa mujibu wa kalenda ya kiislam imebaki miaka 67 tuu.. Je UMEJIANDAAJE siku zimeisha? Tujikite ktk kumcha Allah! wakumbushe waislam wengine kuwazindua ili tupate Nusra.! Inshaallah.