toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,546
- 3,196
leo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana ingia instagram search accunt ya NURUVAZI yupo live ana host HABIL anatoa nondo na ushahidi siwezi upload link maana ni kinyume na taratibu za JF
-Vijana watatoa ushahidi wakiwa wamekifunika sura
- vijana wameahidiwa milioni 3 kila mmoja
Maelezo yote ya hizo task force kuvujisha anatoa habil and kabil ingia TikTok search account summerclif00
Member: wanaume 8
Watu wa intelijensia: 3
Wanawake: 4
Instagram ingia account ya NURUVAZI