Imani ya Watanzania kwa Rais Samia yaendelea kuongezeka

Kujifariji ni dawa ya wenye ulemavu Wa kufikiri
Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana Barani Afrika kwa Sasa,Ndio maana unaona kwa Sasa Tanzania ndio chaguo namba moja la watalii na wawekezaji wakubwa
 
Mimi nimewasilisha ukweli kutoka mitaani wa namna watanzania wanavyo mkubali na kumuunga mkono katika kututumikia na juhudi zake za kuliinuua Taifa hili kiuchumi kwa kujenga uchumi unaomgusa na kumnufaisha kila mtanzania
Wewe teuzi zinakupita licha ya kuweka jina na namba yako ya simu kwenye mada zako za kichawa, mitaa unayokaa wewe itakuwa ya Lumumba maana huku kwetu wananchi wanalalamikia hali ngumu ya maisha, tunakula mlo mmoja kwa siku tukikitahidi miwili kwa shida tutasifiaje serikali yake? Kwa kutuletea njaa?
Mwisho chawa wawili walioruhusiwa nchini nyie kupe tu
 
Usijiulize Serikali itakufanyia Nini Bali jiulize utashirikiana vipi na serikali kupata maendeleo,kilimo ni biashara nenda shambani ukalimee,acha wakulima wafaidike na jasho lao,
 
Ndugu uteuzi haupatikani hivo. Huna connection utaishia kumaliza bando tu.
 
Hakuna atakaye bakia salama akibainika Kuchezea Fedha za Umma,hakika atakiona Cha moto na kujuta maisha yake yote maana Rais Samia Hana mchezo Wala Subira katika Hilo,
Serikali haina uwezo wa kumfanya chochote mtu anaepiga pesa za magari 500
 
Kwa Sasa mkulima anafurahia jasho lake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kupata Bei nzuri ya mazao yake tangia wakati wa mavuno
Kaka unatafuta kujikwamua kimaisha kwa njia ya ajabu mno, komaa watakuona tu
 
Ndugu zangu watanzania,

Huo ndio ukweli ambao unaendelea kujidhihirisha mitaani kupitia maongezi ya watu, watanzania wanaendelea kumwamini Sana Rais Samia na serikali Yake, matumaini ya watanzania Ni makubwa Sana chini ya uongozi shupavu wa Rais Samia.

Rais Samia Ameendelea kujizolea umaarufu, na uungwaji mkono, watetezi wa Rais Samia mitaani wanaongezeka siku Hadi siku bila kujari vyama vyao,Rais Samia anasemewa kwa mema na watanzania wote,Kila litakapotajwa jina la Rais Samia mitaani unaona Tabasamu Katika nyuso za watanzania na furaha mioyoni mwao.

Rais Samia Ni Nyota imulikayo gizani na kuleta matumaini kwa watu wote waitazamayo juu ya kusonga mbele na Kuendelea na safari Yao, ameleta matumaini katika maisha ya watanzania,ameponya wenye majeraha ,amewapa faraja wenye maumivu na Amejenga kuaminiana na kusikilizana miongoni mwa watanzania,ndio sababu unaona kila mtu atakaye hojiwa na chombo chochote Cha habari au yeyote yule unaona anamsemea mazuri Rais samia.

Rais Samia anapendwa na kukubalika na watanzania Ni hakuna mfano , utendaji kazi na uchapa kazi wake umezikonga nyoyo za watanzania,uzalendo wake umeziteka nyoyo za watanzania,hekima busara na upendo uliojaa katika kifua Cha Rais Samia umewafanya watanzania watamani uchaguzi ufike haraka ili wampigie kura Rais Samia .Hakika Rais Samia Amebarikiwa Sana na kuifanya Tanzania kuwa yenye baraka na Neema kwa kila jambo.

Kazi Iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

0742-676627
Sasa naanza kuamini kuwa wewe ndiye Samia mwenyewe unajipigiaga promo
 
Kwani hata kusoma nako kunakupa shida,kazi za Rais wetu alizo zifanya zinajinadi zenyewe hata Kama Mimi nikikaa kimya bado wengine watamsemea mh Rais wetu mpendwa mama Samia
 
Kaka unatafuta kujikwamua kimaisha kwa njia ya ajabu mno, komaa watakuona tu
Mimi napambana na kilimo changu ambacho kwa Sasa Ni shughuli ya heshima na inayoheshimika chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa mama Samia suluhu Hassani baada ya uamuzi wake wa makusudi wa kutaka mkulima Naye afaidike na jasho lake badala ya kuwa mtu wakulima na kububujikwa machozi kila mwaka kwa kupata hasara ya kutengenezwa
 
Ni lini mkulima nchi hii alouza mchele kilo sh 4000? Zaidi anaefaidika ni dalali tu
 
Naomba nikwambie kuwa Bei ya mazao ilikuwa Ni nzuri Sana Tangia wakati wa mavuno,nayasema haya kwa uhakika kabisa kwa kuwa Mimi mwenyewe ni mkulima,
 
Usijiulize Serikali itakufanyia Nini Bali jiulize utashirikiana vipi na serikali kupata maendeleo,kilimo ni biashara nenda shambani ukalimee,acha wakulima wafaidike na jasho lao,

Sometimes me uwa naona Bora Tu viongozi wale ela, wapeleke watoto zao shule mzuri ulaya

Yan Acha tu wafanye ufisadi mkubwa kama unaofanywa

And sometimes uwa naona hawa vijana Acha tu waendelee kupewa milion 2 Kwa kikundi cha watu 20 wakafuge samaki

Akili zao zimeishia hapo

Kwa mawazo ya kijana kama Lucas unadhan hata anaitaji mambo mengi?

Yy akila akashiba basi kwake imetosha
 
Ndugu zangu watanzania,

Huo ndio ukweli ambao unaendelea kujidhihirisha mitaani kupitia maongezi ya watu, watanzania wanaendelea kumwamini Sana Rais Samia na serikali Yake, matumaini ya watanzania Ni makubwa Sana chini ya uongozi shupavu wa Rais Samia.

Rais Samia Ameendelea kujizolea umaarufu, na uungwaji mkono, watetezi wa Rais Samia mitaani wanaongezeka siku Hadi siku bila kujari vyama vyao,Rais Samia anasemewa kwa mema na watanzania wote,Kila litakapotajwa jina la Rais Samia mitaani unaona Tabasamu Katika nyuso za watanzania na furaha mioyoni mwao.

Rais Samia Ni Nyota imulikayo gizani na kuleta matumaini kwa watu wote waitazamayo juu ya kusonga mbele na Kuendelea na safari Yao, ameleta matumaini katika maisha ya watanzania,ameponya wenye majeraha ,amewapa faraja wenye maumivu na Amejenga kuaminiana na kusikilizana miongoni mwa watanzania,ndio sababu unaona kila mtu atakaye hojiwa na chombo chochote Cha habari au yeyote yule unaona anamsemea mazuri Rais samia.

Rais Samia anapendwa na kukubalika na watanzania Ni hakuna mfano , utendaji kazi na uchapa kazi wake umezikonga nyoyo za watanzania,uzalendo wake umeziteka nyoyo za watanzania,hekima busara na upendo uliojaa katika kifua Cha Rais Samia umewafanya watanzania watamani uchaguzi ufike haraka ili wampigie kura Rais Samia .Hakika Rais Samia Amebarikiwa Sana na kuifanya Tanzania kuwa yenye baraka na Neema kwa kila jambo.

Kazi Iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

0742-676627
Acha tabia mbaya ya kuwasemea watu bila kutumwa.
 
Kwani hata kusoma nako kunakupa shida,kazi za Rais wetu alizo zifanya zinajinadi zenyewe hata Kama Mimi nikikaa kimya bado wengine watamsemea mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Rais mwizi wa kura, alikuwa mshauri no 1 wa muuaji Magufuli na tangu aingie madarakani ufisadi umetamalaki tena, watu wanashindwa kula milo ya kawaida kwa kupanda bei ya vyakula nk. Wewe ni taahira kwelikweli.
 
Back
Top Bottom