Imani ya Watanzania kwa Rais Samia yaendelea kuongezeka

Imani ya Watanzania kwa Rais Samia yaendelea kuongezeka

Kwa Sasa mkulima anafurahia jasho lake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kupata Bei nzuri ya mazao yake tangia wakati wa mavuno
We jamaa umetumwa kuja kumpigia kampeni muheshimiwa humu? Acha mambo yako weweee! Kiazi pori mkubwa weweee.
 
We jamaa umetumwa kuja kumpigia kampeni muheshimiwa humu? Acha mambo yako weweee! Kiazi pori mkubwa weweee.
Kazi alizozifanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia zinajitangaza na kukusemea zenyewe na Wala Hana sababu ya kupigiwa kampeni, Rais samia Hana sababu ya kupiga kampeni maana kila Kona na kila mahali na sehemu lazima ukute Alama za Rais Samia zinazomtambulisha, mioyo ya watanzania imeandika jina la Rais Samia kwa wino wa dhahabu
 
Serikali ya Rais Samia ipo makini Sana katika suala la kila Senti inayopatikana, ndio maana haina mzaha Wala utani na yeyote atakayebainika kufuja fedha za umma,ndio sababu unaona Takukuru ikiwaburuza mahakamani wale wote wenye kuleta mchezo kwenye pesa za umma

magari 500, ela hakuna,

ambulance 200 ambazo zingesaidia huko vijijini watu wamekula ela
 
Hao itakuwa wafu
Ni watanzania wenye akili timamu na wataojitambua na kutambua juhudi za mh Rais wetu mpendwa,si uliona hata Mbowe na chadema yake walivyompongeza mh Rais kwa uchapa kazi wake
 
ha ha ha ha ha ha wee jamaa sijui uko dunia gani
Nipo Tanzania mkuu mahali ambapo watanzania wanaendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpa maarifa ya kutuongoza watanzania na kututumikia kwa uzalendo usio pimika kwa mizani ya aina yoyote ile
 
Fala Kweli wewe, yaani umemalizia kwa kuweka namba yako ya simu kuvizia teuzi, ushaambiwa Tanzania walioruhusiwa kuwa chawa ni wawili Tu: Mwijaku na Baba Levo nyie wengine ni kupe Tu.
Hoja ni ya kinafiki ova
 
Nipo Tanzania mkuu mahali ambapo watanzania wanaendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpa maarifa ya kutuongoza watanzania na kututumikia kwa uzalendo usio pimika kwa mizani ya aina yoyote ile

hahahahaha tunapigwaaaaaa sana
 
Ni watanzania wenye akili timamu na wataojitambua na kutambua juhudi za mh Rais wetu mpendwa,si uliona hata Mbowe na chadema yake walivyompongeza mh Rais kwa uchapa kazi wake
Kujifariji ni dawa ya wenye ulemavu Wa kufikiri
 
Fala Kweli wewe, yaani umemalizia kwa kuweka namba yako ya simu kuvizia teuzi, ushaambiwa Tanzania walioruhusiwa kuwa chawa ni wawili Tu: Mwijaku na Baba Levo nyie wengine ni kupe Tu.
Hoja ni ya kinafiki ova
Mimi nimewasilisha ukweli kutoka mitaani wa namna watanzania wanavyo mkubali na kumuunga mkono katika kututumikia na juhudi zake za kuliinuua Taifa hili kiuchumi kwa kujenga uchumi unaomgusa na kumnufaisha kila mtanzania
 
Back
Top Bottom