PATRICK PIUS FULGENCE
Member
- Aug 21, 2025
- 39
- 9
Ndugu wanajamii naomba nilete shauri
Kwanini biblia imekuwa na tafsiri nyingi kiasi kwamba kuna biblia ya vitabu 88 hiiniya muethiopia,na 78,hii niya kikatoliki,na 66, hii niya king Jemsi ya kianglikana alimaarufu ya kilokore na pia ya siria vitabu 40,
Lakini imeandikwa usiongeze wala usipunguze
Nikweli kitabu hichi iliandikwa na roho mtakatifu mfano huyu king 👑 Jemsi mfalme wa Uingereza alipotafasiri biblia kutoka vitabu 78 hadi 66 aliongozwa kweli na MUNGU pakahapo haijaongez wala kupunguzwa????🙆🙆🙆🙆