Imagine unaishi hapa.....

Sipati picha lengo hasa la kujenga sehemu kamahii.
 
Labda lengo lake ni kuogopa kuibiwa mkewe na binti zake.....
 
Hataki kukaa mabali na eneo la tukio!
 
hapa anaishi yule 'Yahaya' wa Lady Jaydee
 
alipelekaje vitanda, kabati, friji, na wakija wageni?
 
Makubwa?akija mama mkwe na baba mkwe watafikaje huko?timmy wangu si atakuwa anakwea Kama nyani?
 
Huyu alikosa kiwanja akaamua kujenga huko au ardhi ya pembeni ilikubwa na Tsunami akajikuta kabaki kisiwani?
 
naweza kuwa naota ndoto mbaya kila siku daaah!
 
Huenda usafiri wake binafsi ni helikopta
 
Watu8 si unaona ngazi hapo?...yaani kwenda home lazima utumie hiyo ngazi!

Nimeona mkuu lakini mimi nilikuwa najaribu tu kufikiria usafiri mwingineo anaoweza kumiliki huyo mwenye nyumba.
 
Nimeona mkuu lakini mimi nilikuwa najaribu tu kufikiria usafiri mwingineo anaoweza kumiliki huyo mwenye nyumba.

You are right kaka..tatizo hapo sasa ni helipad!..manake naona eneo lenyewe halitoshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…