Imagine ni mpenzi wako huyu

Summer jam ilifungiwa kipindi kile watu walivyokuwa siriazi na maadili. Ila siasa zilivyochanganywa na fursa saivi ni kufiestika tuu! Wanasema ni shidaaa

Chochea motoo....chochea kunii...

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Vigodoro na baikoko ndo usiseme
 
Vigodoro na baikoko ndo usiseme

Wabongo tushachoka, wengi tumekata tamaa ya maisha..gap ya wenye nacho na wasio nacho ndio inazidi kutisha! Hatutaki kuwaza nje ya box tena, tunataka shortcut na kuwaza mambo rahisi rahisi hatutaki kujichosha na kujiongezea stress!

Ma disco vumbi, vigodoro, ulevi(viroba+bange+ugoro) vijana kwisha habari yao!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Yeah inauma kwakweli tunakiangamiza kizazi kijacho
 
Serious mkuu, huku mitaani hakueleweki! Huwezi kumtofautisha graduate na kijana wa mtaani tuu! Wanapigika vibaya. Hasira wanayo ifuga sijui wataitolea wap?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Serious mkuu, huku mitaani hakueleweki! Huwezi kumtofautisha graduate na kijana wa mtaani tuu! Wanapigika vibaya. Hasira wanayo ifuga sijui wataitolea wap?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Huku tukiwa na takwimu za kutisha kwamba uchumi unakuwa kwa kasi kwa kujaza substandards toka middle east na rejects toka ulaya... pity!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…