herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,743
Ufanye mazuri kwa gharama ya ukatili kwa wengine. Kwanini usifanye makubwa huku ukiheshimu utu na uhai wa watu wengine?? Ni vigumu kiasi hiko?
Raisi pekee,aliyeweza kuweka mfumo mzr wa kukusanya mapato,ni Mkapa,aliunda TRA,na ni raisi pekee aliyeweza kukusanya mapato na kulipa deni la nje,
Huyu wa sasa hv anakopa,anapora,na anatumia na hataki kuulizwa,
Hifadhi ya burigi,wanysma wameamishiwa kutoka hifadhi zingine,Uwanja wa chato,hataki kuulizwa katumia Tsh ngapi
Membe anauweza uongozi wa ndani na nje vizuri mno kuliko magu. Huyu ni msomi wa kweli na mwanadiplomasia tofauti na magu na mambo yake ya kulazimisha. Mtampenda magu kwani amependelea maziwa makuu sana.Kuna mambo ambayo wanadamu tumefichwa. Pamoja na utawala huu kulalamikiwa hasa juu ya haki za binadamu na maslahi kwa wafanyakazi, lakini Tanzania ya membe ingekua ya ajabu zaidi.
Tofauti ya Membe na Magufuli ni kwamba mmoja anaamini Tanzania ya mendeleo bila wazungu na mmoja ana amini bila wazungu hakuna maendeleo.
Hivyo kwa utaratibu huu Tanzania ya Membe ingekua ya ni Tanzania ya wageni na wakuu kula bata.
Mtwara ingekuwa muda huunimejaa wazungu, Bagamoyo ingekua imeshika kasi huku bandari za dar, mtwara, na tanga zikiwa hoi.
Reli ingekuwa imeshikwa na wachina kama wenzetu Kenya japo naamini ingekua imesha isha muda huu.
Miuundo mbinu kama afya, barabara, shule , bandari, meli kwenye maziwa makuu hali ingekua mbaya sana.
Tanzania ingekua ni nchi moja wapo inayo hudhuria vikao karibia vyote vya UN na taasisi nyingine.
Kwa ugonjwa wa corona hadi muda huu tungekua tumefungiwa home, na shule na vyuo zingeambiwa hadi 2021.
Membe anauweza uongozi wa ndani na nje vizuri mno kuliko magu. Huyu ni msomi wa kweli na mwanadiplomasia tofauti na magu na mambo yake ya kulazimisha. Mtampenda magu kwani amependelea maziwa makuu sana.
Membe ana CV nzuri sana tangu zamani akiwa na miaka 24 tayari alikuwa mtu mzito serikalini wakati wa Nyerere, some CV yake. Magu tunajua ndio alibebwa na kina Mkapa na mambo mengine mengi ambayo haifai kueleza hapa.Diplomadia ipi? Unajuaje kama alikua habebwi na mjomba ake JK.
Katika watu ambao walipewa uongozi kindugu na JK ni hawa
1. Shukuru kawambwa
2. Bernard Membe