Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,947
- 62,763
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Jiwe kadhibiti wauza unga kwa asilimia kubwa sana.
Umejuaje?.
Haste generalization kwa kufuata hisia na propaganda bila data halisi.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Jiwe kadhibiti wauza unga kwa asilimia kubwa sana.
Wewe umetumia data zipi kusema madawa ya kulevya hayajadhibitiwa kwa kiasi kikubwa.Umejuaje?.
Haste generalization kwa kufuata hisia na propaganda bila data halisi.
Membe angekuwa rais, Lisu asingepigwa risasi 16Jasusi Mbobezi angekuwa rais,
nchi ingekuwa mbali hii
Be Saanane, Azory Gwanda na Kanguye huenda tungekuwa nao mtaani
Membe angekuwa rais, Lisu asingepigwa risasi 16
Ange ajiri vijana,angepandisha mishahara watumishi ambao ndio engine ya nchi,ange boresha kilimo na wakulima,maisha yangekuwa bora kwa watu wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Tungekuwa Tanzania ya ovyo sana, mimi nampa kongole JPM kwa uthubutu na uimara wake hata kikwete aliona mbali sana mana Membe hana jipya
Unamujua kuliko mkewe?Membe mtu wa starehe.. hakupikwa kuwa Rais.
VS Kujenga infrastructures na mahospitali na kununua ndegez ambapo mtz asiye na gari ama pesa ya kupanda ndege hafwaidiki.
Lazima tuwaze na kuishi kama tulivyozoea.
Mambo amayoyafanya Magu hatujayazoea kabisa na hatuyaelewi.
Simply kwakuwa uwezo wetu wa kuwaza ni wa leo na wa kunusuru matumbo[emoji3][emoji3]
Wauza sembe kina rizimoko wangeflourish. Kina Abdul Nsembo wangekuwa wanaendelea kuuza sembe na kamwe wasingekuwa jela.
Baba ako mbona hagombei ata huo ubunge au ni marehemu?Membe akagombee ubunge tu, urais sio saizi yake.
[emoji2960]Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Jiwe kadhibiti wauza unga kwa asilimia kubwa sana.
Nakubaliana na weweKuna mambo ambayo wanadamu tumefichwa. Pamoja na utawala huu kulalamikiwa hasa juu ya haki za binadamu na maslahi kwa wafanyakazi, lakini Tanzania ya membe ingekua ya ajabu zaidi.
Tofauti ya Membe na Magufuli ni kwamba mmoja anaamini Tanzania ya mendeleo bila wazungu na mmoja ana amini bila wazungu hakuna maendeleo.
Hivyo kwa utaratibu huu Tanzania ya Membe ingekua ya ni Tanzania ya wageni na wakuu kula bata.
Mtwara ingekuwa muda huunimejaa wazungu, Bagamoyo ingekua imeshika kasi huku bandari za dar, mtwara, na tanga zikiwa hoi.
Reli ingekuwa imeshikwa na wachina kama wenzetu Kenya japo naamini ingekua imesha isha muda huu.
Miuundo mbinu kama afya, barabara, shule , bandari, meli kwenye maziwa makuu hali ingekua mbaya sana.
Tanzania ingekua ni nchi moja wapo inayo hudhuria vikao karibia vyote vya UN na taasisi nyingine.
Kwa ugonjwa wa corona hadi muda huu tungekua tumefungiwa home, na shule na vyuo zingeambiwa hadi 2021.
Raisi pekee,aliyeweza kuweka mfumo mzr wa kukusanya mapato,ni Mkapa,aliunda TRA,na ni raisi pekee aliyeweza kukusanya mapato na kulipa deni la nje,Kuna mambo ambayo wanadamu tumefichwa. Pamoja na utawala huu kulalamikiwa hasa juu ya haki za binadamu na maslahi kwa wafanyakazi, lakini Tanzania ya membe ingekua ya ajabu zaidi.
Tofauti ya Membe na Magufuli ni kwamba mmoja anaamini Tanzania ya mendeleo bila wazungu na mmoja ana amini bila wazungu hakuna maendeleo.
Hivyo kwa utaratibu huu Tanzania ya Membe ingekua ya ni Tanzania ya wageni na wakuu kula bata.
Mtwara ingekuwa muda huunimejaa wazungu, Bagamoyo ingekua imeshika kasi huku bandari za dar, mtwara, na tanga zikiwa hoi.
Reli ingekuwa imeshikwa na wachina kama wenzetu Kenya japo naamini ingekua imesha isha muda huu.
Miuundo mbinu kama afya, barabara, shule , bandari, meli kwenye maziwa makuu hali ingekua mbaya sana.
Tanzania ingekua ni nchi moja wapo inayo hudhuria vikao karibia vyote vya UN na taasisi nyingine.
Kwa ugonjwa wa corona hadi muda huu tungekua tumefungiwa home, na shule na vyuo zingeambiwa hadi 2021.
Hiyo mishara juu ungelipwa kutoka wapi wakati watu hatulipi kodi na pesa za uma tungezitumia kwa kazi na bata iliyopoa, mngedai mishahara mpaka ulaya ndo wawalipeKwani MAGUFULI NA KIKWETE NANI ALILETA UNAFUU WA MAISHA KWA WATANZANIA? UWEZO WA WÀNANCHI KUJENGA, KUMILIKI MAGARI, MASHAMBA NK.
Kwangu mimi maisha yangekuwa nafuu sana. Mishahara juu, miundombinu ya barabara na bandari ingekuwa safi, uhuru wa bunge na mahakama ungekuwa juu. Ajira zingetolewa kama haki ya raia sio hisani ya rais kama afanyavyo kwa vijana wa JKT. Tusingepata Spika wa hovyo wala wakuu wa mikoa wa hovyo kama MAKONDA.
Lkn tusingekuwa na Ndege zile, reli ya kati ingekuwa hoi. Pia asingetembea na mabegi ya pesa kugawa hovyo makanisani na njiani, Mabeyo asingekuwa CDF wala SIRRO kuwa IGP, isingetokea mtu kufukuzwa kazi hadharani nk.
So tuendelee kuwa nchi ya madili.. unalala kapuku unaamka Manji[emoji1][emoji1]
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhKuna mambo ambayo wanadamu tumefichwa. Pamoja na utawala huu kulalamikiwa hasa juu ya haki za binadamu na maslahi kwa wafanyakazi, lakini Tanzania ya membe ingekua ya ajabu zaidi.