Imagine JF tunakutana ukumbini!

Imagine JF tunakutana ukumbini!

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Utawezaje kumtambua mwenzio kwamba huyu ndo labda bujibuji, maralia sugu, dena amsi, hmaster nk bila ya kujitambulisha. Mi ntaangalia lafudhi zao tu, je wewe!:majani7:
 
Kuna mmoja hapa ni shoga nitamuona kwa mavazi yake na kuongea kwake kwa vidole juu!

mchungajiiii..siri za vitubio unaziweka hadharani!??
Ama unataka twende mbali zaidi kufikiri umalitambuaje hilo!?? hahahaha
 
sorry nntasikiliza lafudhi zao na si kuziangalia. Kwa mfano nikimsikia msichana au mwanamke kila mala anatumia neno bana badala ya bwana nitajua huyu ndo DA.
 
Nikiiona tu hii sura najua ni Hmaster, ulaya unauzika.
avatar33958_3.gif
 
Mbaya zaidi unaweza kuju kutambua jina la mtu wako wa karibu alitumialo na kuona madhara ya post alizokuwa anatuma kukuponda. Itakuwa mbaya sana. Tafadhali naomba tusikutane.
 
sorry nntasikiliza lafudhi zao na si kuziangalia. Kwa mfano nikimsikia msichana au mwanamke kila mala anatumia neno bana badala ya bwana nitajua huyu ndo DA.

Wako wengi, Lizzy yumo humo
 
Huyo shoga watu wote tunamfahamu.
Bujibuji lazima atakuwa amevaa suti na raba za loso
 
Hata kama tukikutana utanitambua? Utaona sura tu ila huwezi jua nani ni nani
 
Tuwaulize wale waliokutana Arusha wakati wanafanya utalii wa ndani, je walitambuana bila kuulizana?
 
Mi faiza foxy nikimuona ntababua mbata la mgongo maana jeuri kwl hili janamke, nahisi gaidi
 
Mimi nitasikiliza hoja ni nitaweza kuwatambua Faizfoxy na Malaria sugu! hii inanikumbusha lile pambio la dini moja hivi "...... Nitamjua X2 nimuonapo uso kwa uso, nitamjuuua kwa alama....
 
Mi ntamtambua maria roza fasta kwa kiwango cha ashki alichonacho kila mara.
 
Back
Top Bottom