virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.
Kama Bikira Maria anaweza kuwaombea Dhambi mkasamehewa sasa kwanini Yesu alikuja. Mungu angeweza kumtumia huyo bikira maria yakaisha.
pili ni wapi kwenye bibble Yesu alisema ombeni kupitia Mama yangu nami nitawasamehe??? Sana Sana alisema MTU hawezi kufika kwa baba ila kupitia kwangu but sio kwa mama take
Tatu kwanini mnachoga sanamu na kuzipigia magoti ilihali hao mnaowapigia magoti wako hai???
kwa mawazo yangu Mimi ni kuwa kilichokufa ndio kinachochongewa sanamu....why mnachonga sanamu kwa MTU aliye hai???
Zaidi ya kumzaa Yesu Kristo mwana waMungu hana nafasi yoyote kuendelea kumtukuza,kumwomba ni kupoteza muda tu.
Twende Taratibu.
Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu.
Jesus aliexist mda mrefu sana before hata Mary kuwepo. Amejidhihirisha kwetu kupitia Mary. But haimanishi wanauhusian Mary na Jesus wapo kama mimi na Mama yangu.
Zaidi ya kumzaa Yesu Kristo mwana waMungu hana nafasi yoyote kuendelea kumtukuza,kumwomba ni kupoteza muda tu.
kwa hiyo mama yako hana nafasi katika utawala wako?
je kama wakubali Yesu ni mfalme na ni mwana wa mungu, mama wa mfalme anaitwa nani? je huwa hana nafasi katika utawala wa mwanaye mfalme?
Twende taratibu tu...ili uelewe..
If the Virgin Mary has to steep down to these types of pranks, then she is running out of tricks indeed.
Why doesn't she appear in Monrovia and give the dying Liberians the cure for Ebola?
Logic hapa sasa? Some questions are too complicated to answer with a human thinking.
Kama Bikira Maria anaweza kuwaombea Dhambi mkasamehewa sasa kwanini Yesu alikuja. Mungu angeweza kumtumia huyo bikira maria yakaisha.
pili ni wapi kwenye bibble Yesu alisema ombeni kupitia Mama yangu nami nitawasamehe??? Sana Sana alisema MTU hawezi kufika kwa baba ila kupitia kwangu but sio kwa mama take
Tatu kwanini mnachoga sanamu na kuzipigia magoti ilihali hao mnaowapigia magoti wako hai???
kwa mawazo yangu Mimi ni kuwa kilichokufa ndio kinachochongewa sanamu....why mnachonga sanamu kwa MTU aliye hai???
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana..
kwa hiyo mama yako hana nafasi katika utawala wako?
je kama wakubali Yesu ni mfalme na ni mwana wa mungu, mama wa mfalme anaitwa nani? je huwa hana nafasi katika utawala wa mwanaye mfalme?
Twende taratibu tu...ili uelewe..
Uko kama mimi yani. Ila heshima au value yake iko pale pale, the most blessed woman of all women!
That is a classic "Deus ex Machina".
Hujajibu swali.
Kwa nini bikira Maria hajatokea Monrovia watu wanapoanguka na kufa kwa Ebola awape dawa wapone?
Kama some questions are too complicated to answer with human thinking wewe ulitumia thinking gani kujua hilo?
woote nyie hamna kitu hapo, mnalumbana juu ya CREATIONS and not CREATOR!!! Bibilia hamuiju hata kidogo!
Wapi Yesu ameseme yeye ni mungu ( mungu wa kweli anasema bila kumung'unya kama MIMI NI MUNGU NIABUDUNI) chaajabu hata wanafunzi wake hawakumuabudu wakati huo.
Huyo Maria alikuaga na mchumba kabla ya kumzaa yesu (ukisoma bibilia kwa umakini), kuhusu swala la ku Duu kwenye uchumba wao, hiyo ni siri yao!!!
Mungu anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba yeye mwenyewe ashindwe kulibeba?
Mungu anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba yeye mwenyewe ashindwe kulibeba?
Twende taratibu. Idea ni kuwa swali lako ni valid lakini nakuhakikishia anayeweza kulijibu ni Mary mwenyewe au vinginevyo amtume mtu akwambie jibu. Biblia inasema "...niliyowafunulia ninyi ni ya kwenu ninyi na watoto wenu". Maana kuna maswali mengine ukijiuliza unaweza kudata. Mfano ni hili swali uliloiliza, au mtu akikuuliza kati ya binadam na shetani nani alitangulia duniani? Imiwa ni shetani ndiye aliyetangulia, why Mungu alimuumba binadam na kumuweka mahali shetani yupo wakati akijua shetani ni neenye uwezo na maarifa kuliko binadamu? Huwezi kupata jibu hata uende wapi!
Sasa mjadala unakwenda kuwa miguu juu na kichwa chini ..............