virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.
Yesu ana nafasi gani katika ufalme wa Mungu..?
Yesu ana nafasi gani katika ufalme wa Mungu..?
Twende Taratibu.
Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu.
Jesus aliexist mda mrefu sana before hata Mary kuwepo. Amejidhihirisha kwetu kupitia Mary. But haimanishi wanauhusian Mary na Jesus wapo kama mimi na Mama yangu.
Mimi ndimi
njia, na kweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila
kwa njia ya mimi.
Kinachonishangaza huyu mwanamke mpaka leo anaitwa virgin eti
Twende Taratibu.
Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu.
Jesus aliexist mda mrefu sana before hata Mary kuwepo. Amejidhihirisha kwetu kupitia Mary. But haimanishi wanauhusian Mary na Jesus wapo kama mimi na Mama yangu.
Ndiyo anaitwa Virgini....
Kwani umesikia mahali wanamuita si Virgin...? Au ni hisia zako..?
Maake Mungu huyo?View attachment 202992Some believe the appearance of the Virgin Mary is a sign of divine intervention.
Nini maana ya virgin? Tuanze na hapo.
Kwa taarifa yako Maria alitabiriwa tokea enzi la Agano la kale kuwa atamzaa Yesu....
Ngoja nikurudishe nyuma Uone...Soma Isaya 7:13-17.........Huyo atazaliwa Betlhemu mji wa Mfalme Daudi Mik 5:2
Unabii huo unatimia Maria alipomzaa Yesu (Mt. 1:21-23)
Hayo yalitokea kabla hata makanisa Hayakuwapo.....
Wewe baba yako akiwa Professor na wewe utakuwa ni Professor? Halafu hawa Miungu wako wangapi?
Twende taratibu kivipi wewe....Mimi naongea kwa Evidence ya maandiko wewe unaongea maneno matupuu..Twende taratibu unaend mbali.
Kuna mstari unaonyesha kuwa Mungu alimkilimia Yesu jina kupita majina yote hipo wazi.
Je kuna sehemu ambako Maria ametajwa kama nyie mnavyoona kuwa ni mama wa Yesu kama ilivyo sis tunavyo chukulia mama zetu?
Kuna sehemu ambapo imeonyeshwa nafasi ya Maria katika ufalme wa Mungu?
Nakumbuka kuna mahala, Yesu alikuw na wanafunzi wake, akaambiwa kuwa mama yako na ndugu zako wanakuja kukutizam
Unakumbuka alijibu nini?? na hili jibu kwako linamaan gani?
Twende taratibu tujibiane vingere tunavyo ulizana, kimoja kwa kingine.
Toa andiko wacha kuwa kama kasuku...maswwla ya sijui andiko,hata quran ni andiko..Haha unaleta mashindano ya Lugha mkuu.
Ila naomba hujibu swali haya.
Mungu ni nani? Au ni nin?
wakati biblia inasema kwenye Mwanzo wakati wa uumbaji KUWA NA TUMFANYE MWANADAMU KWA MFANo WETU alikuwa anaongea katika nafsi ipi umoja ama wingi!? Jibu hayo twende taratibu
virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.
Nimelipenda hili swali....