Image: Mugabe the granum of Africa

Image: Mugabe the granum of Africa

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,012
Reaction score
25,353
....

Peoples Power !!!


African+Leaders.jpg
 
..

....tumebaki na wezi na manyang'au !!
 
Nilijifunza kitu kuwa, mtu akizungukwa katikati lazima atakuwa na ushawishi mkubwa kuliko wengine. Nyerere alikuwa mmoja wapo.
 
Hawa ndo viongozi pekee kwa sasa. Bw. Polepole anaweza jifunza kwa hao. Maana kwa mtizamo wangu anawalanda sana.
 
Hapo nimewatambua wawili tu, Mwalimu na Mugabe. Hawa wengine nimetoka kapa???
 
Hawa ndio waliofikiria AFRICA inakuwaje, cha ajabu watawala wa sasa ambao ndio walikuwa wasaidizi wao na waliopaswa kusoma mengi wanatenda TOFAUTI kabisa na yale waliyoyaona na kuyashuhudia kutokana na WAZEE hawa mfano halisi watawala wa hapa TANZANIA.

Peoples Power !!!


African+Leaders.jpg
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom