I'm very lonely

Jaribu na we kudadavua hata kidogo kwa upande....coz kijana ameelezea he feels lonely in daily life ambayo inapelekea kukosa mpenzi

We almost share the common interest but Mie kuna mtu alinitenda and niliinvest much love kipindi icho about 4 years sasa, nimejaribu kujiongeza lakini waaaap! Ah nishajichukulia poa now!
 
It is always happening in real life....
I have the same problem na nmekua nkiamini pombe ni solution coz inanifanya nijisikie free.
Nimeshawai kuandika thread kuomba ushauri jinsi ya kukontrol tabia ya kutokujali relationship...I'm only there just for sex.
Ushauri ulikuwa ni kuwaona wataaramu Wa saikolojia au kujilazimisha coz hayo ndio maisha na vurugu zake.
 
Ohooo Asante! Sasa kama nipo mbali na hizo starehe nifanyeje! Mbaya zaidi guys comes but nahisi nitawaumiza tuu so nawakwepa wao huhisi kama naringa wakati Mie najielewa mwenyewe na mungu wangu kwa mabalaa yanayonisibu
 
Moyo wako ni dhaifu sana kukabiliana na migogoro na mauzi ya kwenye mahusiano.
Hivyo kama utaki kuumia na unaenjoy kuwa lonely its OK.
But kama unaitaji a guy sio rahisi kutoka salama inabidi ujitaid tu kuzoea
Coz utafiti unaonyesha asilimia 80% ya ndoa zina migogoro hatarishi inayosababishwa na kuporomoka kwa maadili so inabidi tukubaliane nayo coz ndio zama zetu tulizozaliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom