Pole yake sana aisee.HABARI,
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nipo kwenye daladala natoka Kibamba naelekea Mawasiliano
Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano wake hayupo katika utulivu: " Samwel am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi? "
Kimoyo moyo nikajisemea, jamaa ashamtema dada wa watu.
Hapo hapo nikajikuta namkumbuka yule dada wa saluni ya kike pale Sinza , ambaye alipigiwa simu na bwana wake hakupokea, alafu akawaambia wenzake
"Mpaka apige mara 5 ndio napokea, na nikipokea najua lazima aombe msamaha".
Kwenye mapenzi ukishikwa, kazi unayo.
Ila kwa mtazamo wangu, dada zangu they have a lot to loose when it comes to love than sisi wanaume.
Huwa nawaangalia tu girls in their 20's wanavyovimba mitaani na kwenye daladala.
Anaweza akakusonya kwa kosa la kumwangalia tu.
Nowadays the big the ass, the dumb they become. They think having that stuff kills off everything (Stupid),
Kila picha anayopost, analenga chini ya kiuno. Like na comments za kutosha within few minutes.
Ujue girls kuna kitu hadi leo hamjui kutofautisha, either kwa makusudi or kwa kutotilia umakini. " WANAWAKE WANAOTREND KWENYE HARUSI THEY ARE QUITE DIFFERENT FROM THOSE WHO ARE TRENDING IN SOCIAL MEDIAS"
Unajua kwanini??
Ushawahi kuona vogue au any luxury cars shambani? Hayo magari ni kwa ajili ya kujistarehesha tu, ukifika muda wa kazi, muda wa kuingia shambani linahitajika trekta.
Hicho ndio kipindi ambacho statements kama za yule dada wa kwenye daladala ya Kibamba - Mawasiliano zinapokuja : "Too old to be dumped"
Wanawake wanaotrend kwenye harusi ni wa kawaida tu, sio wa kujichubua, no big ass. Normal shape but attractive.
So dada angu rukaruka ila jua umri unasonga, usipojitambua mapema utaishia kupokea kadi za michango tu au kuombwa uwe maid kwenye harusi ya best yako.
Au la, mtaenda kujazana kwenye miskiti na kanisa ili wawaombee uku mkidanganyishiya mmerogwa, ndo mjipange[emoji23][emoji23]View attachment 1225888View attachment 1225889
Nje ya mada.Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
BlessedDaah too bad, But its okey best of lucky kwa lucky one.
Hawa wakati unawendea puta hatariPole yake sana aisee.
Tatizo la sisi binadamu hata tukienda msikitini /kanisani hatuombi wachumba mke / mume kwa Mungu wetu.
Ke wanaomba wapate mabwana wengi ili tu atumie akili zake kuchagua, na me anataka apate mademu wengi wazuri ili atumie akili zake kuchagua tena ikiwezekana aonje onje hata wote; kitu ambacho hatuwezi kupokea.
Chezea ujana ila ujue kuna age inakuja kukuchuja. Bora hata wale wa Kiumeni ila wale wa kike wakumbuke kuna expire date. Haufi ila stress zake ni zaidi ya maumivu.
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Hivi kwani wanaume hamjiamini? Alowaambia wanawake wazuri hawana Tabia njema Nani? Hebu mjiamini, vuta kitu roho unapenda weka ndani.
Tamaa zinawaponza wanatamani maisha ya anasa kwanini wasitesekeTatizo mabinti wazuri wengi kinachowaponza,wanaamini sana kwenye hela wanaamini kila anayempa hela basi ana mpenda na ndio hapo wale mabaharia wanaojua kutafuta hela ndipo wanapo waumiza.Hatukatai kupenda hela kwani kiasili mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kumtunza na KUMPA MAHITAJI YA MSINGI mwanamke wake,tatizo lao hawajui MAHITAJI YAO YA MSINGI bali waneendekeza LUXURIES things hapo ndipo wanapoumizwa.
Pili wanachagua sana huu mfano ni wa mtu ninaye mjua,unamkataa mtu ambaye yupo tayari kwa kila hali,ana nyumba,ana Toyota Hardbody,ana biashara kubwa,unamkataa kisa meno yake yana rangi kama ya chocolate,alafu unaenda kuzaa na mtu anakula fegi,mdomo muda wote unatoa moshi ,kazaa na wanawake watatu tofauti,watu wanakushauri hashauriki,mwisho wa siku kazalishwa leo single mother.
Una mkataa mtu eti kisa hajui show,hana swaga,wakati vitu hivi kama kweli upo tayari mbona unaweza ukambadilisha mtu.Matokeo yake una date na masharobaro,wabeba nondo wanawazalisha na kuwaacha.Huu ujinga alitaka kuufanya mtoto wa shangazi yangu,sister akamwambia live huyu unayemwona hana swaga,hajui show siku akikupa kisogo utajuta,alafu mwanzoni kisha zalishwa na mume wa mtu,anapata chance nyingine tena mwanaume ambaye ana kazi nzuri,ana usafiri anakakamilisha nyumba yake una mkataa kisa hana swaga.Bahati nzuri alimwelewa sister leo wapo kwenye ndoa.
Kitu kingine naona kinachowakuta ni LAANA.Wengi wao wanapenda hela na wenye hela waume za watu,hawapendi kuanza kutafuta na vijana wenzao,hatimaye anaenda kumchukua mume wa mtu na anaitia misukosuko ndoa ya mtu,mpaka sometimes unavunja ndoa ya mtu,utakuta kilio cha yule mwanamke kwa Mungu kinakutafuna mwisho wa siku utaishiwa kuchezewa.
Mabinti hawa wanaume mnaowaona hawana swaga,hawajui show,hawana mambo mengi zaidi ya kujikita kwenye utafutaji wa hela ndio wanaume wanao wafaa kwenye ndoa.
Makosa ya mabinti wengi,mara nyingi wanao beba msalaba ni Bibi,Babu na Mjomba.
Ila kwa kufupisha mabinti wengi wazuri,hawashauriki ni wachache sana wanaoshaurika,kichwani kwao wanazani watu wana oa uzuri wao,kumbe mwisho wa siku wanazalishwa na kuachwa sababu ya maamuzi yao ya kipuuzi.
The blacker the berry the sweeter the juice...The Older the wine, the more the finnese!!!
Mabaharia wameelewa!
Tatizo mabinti wazuri wengi kinachowaponza,wanaamini sana kwenye hela wanaamini kila anayempa hela basi ana mpenda na ndio hapo wale mabaharia wanaojua kutafuta hela ndipo wanapo waumiza.Hatukatai kupenda hela kwani kiasili mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kumtunza na KUMPA MAHITAJI YA MSINGI mwanamke wake,tatizo lao hawajui MAHITAJI YAO YA MSINGI bali waneendekeza LUXURIES things hapo ndipo wanapoumizwa.
Pili wanachagua sana huu mfano ni wa mtu ninaye mjua,unamkataa mtu ambaye yupo tayari kwa kila hali,ana nyumba,ana Toyota Hardbody,ana biashara kubwa,unamkataa kisa meno yake yana rangi kama ya chocolate,alafu unaenda kuzaa na mtu anakula fegi,mdomo muda wote unatoa moshi ,kazaa na wanawake watatu tofauti,watu wanakushauri hashauriki,mwisho wa siku kazalishwa leo single mother.
Una mkataa mtu eti kisa hajui show,hana swaga,wakati vitu hivi kama kweli upo tayari mbona unaweza ukambadilisha mtu.Matokeo yake una date na masharobaro,wabeba nondo wanawazalisha na kuwaacha.Huu ujinga alitaka kuufanya mtoto wa shangazi yangu,sister akamwambia live huyu unayemwona hana swaga,hajui show siku akikupa kisogo utajuta,alafu mwanzoni kisha zalishwa na mume wa mtu,anapata chance nyingine tena mwanaume ambaye ana kazi nzuri,ana usafiri anakakamilisha nyumba yake una mkataa kisa hana swaga.Bahati nzuri alimwelewa sister leo wapo kwenye ndoa.
Kitu kingine naona kinachowakuta ni LAANA.Wengi wao wanapenda hela na wenye hela waume za watu,hawapendi kuanza kutafuta na vijana wenzao,hatimaye anaenda kumchukua mume wa mtu na anaitia misukosuko ndoa ya mtu,mpaka sometimes unavunja ndoa ya mtu,utakuta kilio cha yule mwanamke kwa Mungu kinakutafuna mwisho wa siku utaishiwa kuchezewa.
Mabinti hawa wanaume mnaowaona hawana swaga,hawajui show,hawana mambo mengi zaidi ya kujikita kwenye utafutaji wa hela ndio wanaume wanao wafaa kwenye ndoa.
Makosa ya mabinti wengi,mara nyingi wanao beba msalaba ni Bibi,Babu na Mjomba.
Ila kwa kufupisha mabinti wengi wazuri,hawashauriki ni wachache sana wanaoshaurika,kichwani kwao wanazani watu wana oa uzuri wao,kumbe mwisho wa siku wanazalishwa na kuachwa sababu ya maamuzi yao ya kipuuzi.
Wana.adopt mazingiraIla kuna jambo moja nimekuja kuligundua sijui ni kwanini madem wa uswahilini wakienda sehemu za ushuani ukitaka kumsoundisha anakua kama vile amepampiwa mara anakua kama na wenge.."hey please niache" sitaki kuongea na mtu ila ukimkuta mtoto wa kishua unaanza masalamu kadhaa mtoto naye anaunga vizuri...sielewi hili jambo kwanini lipo hivi