hahahha hii thread yako inatuhusu ndio mana nimemwita ndg yangu aje ajioneeAcha umbea
huo unaouliza kutaka kujua ndio wanaita umbea DabyKwani kakukera unataka akuombe msamaha au
hahaha nenoSikukuu zimefika sasa, huu ndo muda muafaka wa kuyaomba msamaha makoloni yote ili angalau upate wa kusuuza rungu.
Nice Job Daby
Ubarikiwe mpendwa... ila jitahidi kulisema kiromantiki sasa sio unalipayuka kama msuto wa kicheni patihili neno ni dogo sana lkn lina maana kubwa sana sana wanaoelewa wanajua
na mtu akikwambia i'm sorry amemaanisha
asante Daby kwa kutukumbusha na kuwakumbusha wengine
kama sipo safe utanisaidiajeHamna mama mdogo..
Lengo nikutaka kujua upo safe bin salama
aisee Daby wa husna kwa kunikumbushaUbarikiwe mpendwa... ila jitahidi kulisema kiromantiki sasa sio unalipayuka kama msuto wa kicheni pati
ubarikiwe kwa huo msaada inatoshafKimwili na kiroho