Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Kama hajamaliza la saba huyu...anajifunza kutypeUna miaka mingapi?!
Yan bia mbili kastua..so akikwambia kanywa anamaanisha ngap? Nne ...tano may be.....
Sasa huyo n mwanamke
Uzuri unajua kwamba kuna hii shida
Taratibu msaidie kuacha kwa maana si sifa nzur sana kwa mwanamke
Wanawake tunapaswa kuwa mfano bora Wa kuigwa kwa ndugu,jamaa ,marafiki zaid kwa familia ambazo tunazijenga wenyew
Otherwise tunaandaa misingi mibovu kwa watoto
Mpe mda na msaidie kabisa aache
Ukiona hana muelekeo bas pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani mkuu wa haunywi pombe..??
Tuanzie hapa
Wewe huwa hunywi?
Tunasubiri miaka yako ili tukushauri vizuri
CC [TAG]Nokia83[/TAG]
kama hivyo sawa ila tambua kuwa wanawake wengi hawawezi kujibu straight kuwa nimefanya kitu flan mpaka uwakazie sanaaa so kuwa mvumilivu mwisho utajikuta unaachana na kila mwanamke kutafuta mkweli, kikubwa kuvumiliana,kusamehanaNiko kwenye kundi wanalosema "we drink socially", ila kama umenielewa kunywa siyo tatizo hapa.
Take this mkuu ... huu ni ushauri tosha. Stop bugging her tooooo muuuuch!!!Ukiendelea hivo trust me......huyo msichana atakuacha
wewe huwa unanyoosha maelezo? muwe mnatupa na sisi space kidogo looohKunywa sio kesi sana, na tunaifanyia kazi. Issue ni kupindisha maelezo.
Wa chuga huyooooowhy compaining too much in such small stuffs ??
If you wanna spend the rest with her try to see the best even when she is at worst
NB; you and her are not perfect but together you can make perfection
Take this mkuu ... huu ni ushauri tosha. Stop bugging her tooooo muuuuch!!!
why compaining too much in such small stuffs ??
If you wanna spend the rest with her try to see the best even when she is at worst
NB; you and her are not perfect but together you can make perfection