Im on fire ..usinijaribu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,684
Huwezi kuondoka bila kunitafuta tena ...hizi ni baadhi ya mbinu zangu .... usijaribu kama wewe sio mtaalamu wa kuzitumia aisee
 
Saa hizi? kwa kazi gani nzito nilio fanya usiku? lol
Nilikua class, nimerudi sasa, naanza kumpikia babu Aspirin kule birrthday yake.

na mimi nitakuwepo kwenye birthday.na usivue hijabu. unakuja nayo hivyo hivyo
 
Nitavaa ingine nzuriiii ya glitters.
Jana kuna mtu aliniuliza kuhusu wewe nikashindwa kumjibu. Uliona thread? 🙂
sikuona alikuwa anataka nini tena jamani.au ni ile thread ya kongosho na lizzy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…