Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,175
- 16,437
Karibu sanaWakubwa kwa wadogo Leo nimeona RASMI inanibidi kujiunga na jf kwa ajili ya kuzidi kujifunza mengi zaidi na kuburudika . Naomba ushirikiano kutoka kwenu[emoji120]. Shukrani za pekee ziende kwa jirani yangu hapa home aliyeniwezesha kujiunga humu.