Im looking for webhost | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Im looking for webhost

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by UncleUber, Jan 31, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Guys, im looking for affordable webhost hapa bongo. Mwenye idea aniambie.
   
 2. s

  saq JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Try to PM invisible. i think they are offering nice packages and can be flexible t suit your need
   
 4. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa www.saqqawebconsultants.com nao wana Host! Kazi kweli kweli,Mbona jamani mnaichezea hii taaluma? Yaani unakuta mtu ameanzisha kampuni yake anasema anafanya Software Design,Webdesign and Hosting sijui Networking, halafu unakuta ana jina zuri kabisa la biashara. Sasa nenda kwenye website yake mmh! mfano hawa jamaa wanasema wana Host wanashindwa hata kuonyesha features za Hosting kama space,E-mail accounts na vitu kama vingine mhimu. wanasema kama unataka tupigie simu, hah!. Shame wadau! Yaani hapa unamanisha kuwa Website kwako bado siyo Source of information ila unataka hadi watu wakupigie simu(IT-guy!!!). Mimi niseme tu ndiyo tunajua it is very simple and cheap to own IT-company but tuwe Serious kidogo majembe. Mimi nikitaka kushonewa suruali huwa naangalia fundi ameshawahi kushona suruali zipi...sasa sample zako tu ni tatizo unadhani kuna mtu atakuja kweli kutengeneza website wakati tayari umemuonesha ulivyo fail kwenye samples. Tazama huu mfano wa website waliotengeneza hawa jamaa DarJobs. Hii ni JOOMLA sasa tukikupa ututengenezee m-billing si utakimbia office!. Let us be Serious bana.......Ni mtazamo tu wala msijenge chuki ma developers wangu. Hata hivyo huu uwanja nilisha uhama kitambo na sasa napiga Mobile App kama kawa
   
 5. s

  saq JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chief Lugina - ASANTE kwa ushauri wako (I appreciate your comments and suggestions..)

  Lets go in phases about your complaints...
  Ndio, hatuj weka Features za Hosting... Kwa sabau sisi sio kama kampuni zingine za website-hosting, wanayo nunuwa kutoka KAMPUNI zingine LOCAL... Kampuni hizi (ni seme..ma dalali) wanapewa SPECIFIC Feature with SPECIFIC SPACE and BANDWIDTH..
  SISI, tunaweza ku provide ANY SPACE / BANDWIDTH anayo hitj. customer..
  Features pia zina badilika, depending upon CLIENT's requirement...

  Lakini anyway, will keep your suggestion in view...

  Ofcourse... Thats because sisi sio briefcase company, kampuni zingine wana weka kilakitu kwenye EMAIL..
  Sisi tunapendelea WATEJA wetu watu pitie maofisini kwetu.. na tu pigie na tuwape ushauri..
  PIA tume weka EMAIL na contacts, depending how is your inquiry.

  By your language, you also seem like a developer...Thats why you feel like degrading others company !


  BUT.. We appreciate your feedback and we are always there to improve...


  Asante
   
 6. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PM me!, what if some one wants 50GB,unlimited Email Accouts kwa mwaka mmoja ita cost kiasi gani??
   
 7. s

  saq JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PM sent...
  300 per YEAR... !
   
 8. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
 9. s

  saq JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa unam.mamiy nani ?? ... mimi au ??.. plz use quote as to knw !
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ndio tatizo watuwana msuse hi foum ya tenolojia

  hii forum ipo kwa ajil ya kuhabarishana teknolojia na sio kutafuta na kuuza product. Hapa tuongelee PHP, MYSQL, SQL servever, JQuery, HTML5 , CSS. IT security, web design dvelopment, how mobile Mobile phone works, Modem Solar energy, eletricity, Physics , Chemistry, Automatioon, engeneering, Manufacturing process Telecommunication , Satelite receiver etc

  Watu wanaotafuta au kuuza huduma au bidhaa za kitenlojia wekeni matangazo yenu kwenye forum ya matangazo madogo madogo.


  Saq try to write something about what you know and share a little of your knowledge . Nachoona kwako kwenye hii forum ni kuwa unatengenza web tu This forum is should be more than that. Write something ..... about web devolopment and design

  Nimemkumbuka jamaa anaitwa Feruzi. He is also a developer lakini alikuwa anamwaga shule hapa sio kutangaza business tu
   
 11. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hivi wewe mtu kauliza swali unaanza kuongea maajabu kama umekasirika then mwishoni unajibu.

  mambo yametokea humu wamejibiana kiuzuri sasa unataka waame eti matangazo madogo mchosho you

  kama unataka kusoma kalipie kozi au nenda kasechi mtandaoni sio unasubiri idea za watu 24/7

  mwenzako kauliza swali wanampa majibu weye kwiiiiiiiiiiiii unandandia.
   
Loading...