I’m looking for an internship or a job opportunity

bay_zooh

Member
Joined
Jan 27, 2025
Posts
34
Reaction score
62
Habari za wakati huu wana JF.

Nipo hapa kuwaomba mnisaidie natafuta nafasi ya Intern au kazi niko na Shahada ya mambo ya(Uchumi na Takwimu) from UDSM.

Nina ujuzi wa masuala ya Usimamizi wa bidhaa ama vifaa (Material controller) pamoja na kuwa data analyst.
Also, I’m capable of working as Statistician, Economist, Business analyst, Financial analyst, auditor and so forth.

Kwa wenye kampuni, au mnaofahamu mahali wanako hitaji watu wa intern, au mwenye ushauri wowote kuhusiana na hilo suala I’m here to listen to y’ll.

Napatikana Dar es salaam,
Natanguliza shukrani.

INSIDER MAN
 
IMG_0400.jpeg
 
Back
Top Bottom