King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,201
- 4,393
Aisee wadau mi napitaga njia tu na kuwaona kwa mbali,napitaga haraka haraka toka mwaka 2015, ila leo nimeamua nikaribie humu ndani nione kunani.
Ni kweli ndugu,ila humu ndo jana nmeingia sijawahi ingia before.Mbona umejiunga mda au ndo msimaji mkuu
Asante sana babu.Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Asanteni sana.Karibu sana JamiiForums...