I'm HIV+VE but i still enjoy life.

I'm HIV+VE but i still enjoy life.

We enjoy bana no need to worry cha msingi jitunze na ufate masharti..I knw some people wenye aids kwa zaidi ya 15 yrs na wanadunda tu

Unasema '15' angali mimi ninamjua wa miaka 30....Na ni mama mtu mzima na ana afya tele....
 
Unasema '15' angali mimi ninamjua wa miaka 30....Na ni mama mtu mzima na ana afya tele....

Yeah ts possible. ..ina maana huyo maza ukimwi ulivyoingia tu na yeye akaupata 1983/1984...Lucky her m sure anajitunza vyema
 
so what nini sasa mbona kama umeshapanic, subiri kufa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom