na mwanamme hana kwao?
Na watoto kwao ni kwa mama yao?
Kwa mila za kiafrika kwenu ni kwa baba yako.
Kwa hiyo mwanamme angesema na yeye anaenda kwao na watoto wende kwao maana yake watoto angeondoka nao yeye mwanamme
Let say baba na mama wanakaa nyumba tofauti, mtoto wa kike utaenda kwa baba au mama??Na watoto kwao ni kwa mama yao?
Kwa mila za kiafrika kwenu ni kwa baba yako.
Kwa hiyo mwanamme angesema na yeye anaenda kwao na watoto wende kwao maana yake watoto angeondoka nao yeye mwanamme
Let say baba na mama wanakaa nyumba tofauti, mtoto wa kike utaenda kwa baba au mama??
the CHANCE. hapo kwenye red umekosea inabidi iwe DOUBT
Upooo mamii?
nipo Kamanda. Mzima weye?
lol Tata, hapo kwenye "umekosea" ilibidi uweke fullstop. Halafu unieleze kosa langu:lalala:
utapoteza muda wako na huyo ndugu
hana jipya ni kati ya waliofilisika kimawazo
kula time yako baby.
Daaahhh....mamndenyi msarie boflo mbee....!Boflo uliwakashfu wanawake mahali fulani, unapakumbuka
bila kuanzisha uzi wa kuomba radhi sitakaa nichangie uzi wako.