Hahahaa we jamaa hakyamama umefanikiwa kunichekesha wallahYaani nkikuangalia skyEclat ndo naamini kweli descent ladies huzama kwa bad boys
[emoji23][emoji23][emoji23]
All the best lakini
Una mashaka na mimi? She is my soulmate. Tumebatizwa siku moja.I hear you. Love is good when there is mutual feelings. I hope he feels the same
RIPSo what ?
Rudi tu Dar[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23]Am here sweetheart.... sema neno moja roho yangu ipone
😂😂😂😂😂😂😂Rudi tu Dar[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23]View attachment 976589
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya ulisi hiyo dada [emoji23][emoji23][emoji23]Mradi alikumbuka kujenga nyumba kaka, watoto hawatalala kwa mjomba.
Shosti umezama. Huyu mzee anaelewa umezama kina gani?
Umezamaa kwa mapenzi, hujui kama utazuka.
Heri ya sikukuu.
Ina maana nyie majamaa muna click pamoja in a real sense. I see something in common. Are you freaking out like serious?Thanks hunnie...
Hakika umenifungulia dunia kuwa ninavyotaka
Am humbled!
Hongera sana, must be a best coupleIndeed