I have already told u my dear...what else should i say?....nisamehe mwenzio...
Na atakayekosa kamba aje nimpatie lol...... Yanatosha darling manake najua unamaanisha kwa moyo wako wote!
Huyo mganga wako anapatikana wapi mkuu klorokwini.......
Hehehe acha kunichekesha klorokwini, hivi kweli unataka nimtabasamie wakati aliondoka bila kuniaga?
Kama sio wewe kunifariji kipindi chote cha mpito si ningekunywa sumu?....lol Na akijaribu kuondoka tena akirudi atakuta tushafunga ndoa! Ajaribu aone.
Hata ukinipenda Vin Diesel sicheki wala sitabasamu mpaka unambie nini kilitokea......
Easy dearest one sweetlady....nilipotea kupambana uso kwa uso na watu kama kina klorokwini....
Sasa nimeshaliminate wapinzani wote....hawa kina Erickb52 wala hawanitishi....
Love you honey!
Love you more baby....nakupenda dunia nzima.....lol
Nimekusamehe kwa moyo wangu wote!
Love you more my darling Vin Diesel.
Namaanisha sana tu mke wangu sweetlady...dada yangu AshaDii na RussianRoulette ni mashahidi wangu....
Michango yote ya halusi ya sweetlady na Vin Diesel naomba iwakilishwe kwangu haraka sana.
RIP nitonye
heheh wala usijali mkuu, mila zetu zinahimiza sana kushuhulikia msiba kwanza halaf ndio shuhuli. Sasa acha tumalizie msiba wa nitonye halaf nitahakikisha kamati inaundwa. Tegemeeni sapraiz kwenye kamati kwavile loya ni mtu mkubwa, unaweza ukaona david beckham kawekwa mgawaji kadi za mwaliko tu.Naomba upange kamati vyama klorokwini.....usisahau wadau.....
heheh wala usijali mkuu, mila zetu zinahimiza sana kushuhulikia msiba kwanza halaf ndio shuhuli. Sasa acha tumalizie msiba wa nitonye halaf nitahakikisha kamati inaundwa. Tegemeeni sapraiz kwenye kamati kwavile loya ni mtu mkubwa, unaweza ukaona david beckham kawekwa mgawaji kadi za mwaliko tu.
Hehehehehe!!!!!! Lawyer klorokwini ujue humu jf nakuamini wewe peke ako, sasa kabla nitonye hajaRIP nihakikishie kuwa Vin Diesel hatanitoroka tena, manake nisijekosa vyote lol....Michango yote ya halusi ya sweetlady na Vin Diesel naomba iwakilishwe kwangu haraka sana.RIP nitonye
Hahahaha!!!!!! ole wako lawyer akupigie debe afu utoroke tena.hapo sawa kabisa mkuu klorokwini....hakikisha obama anasimamia vinywaji.....la msiba acha liishe kwanza....nashukuru sana kwa sapoti...at last my sweetlady namchukua kihalali.....
Hahahahahahahah!!!!!!!!! klorokwini hapa nimevunja mbavu mbili lol........hakyanani siku ukijitoa jf nami najitoa....nimecheka sana.heheh wala usijali mkuu, mila zetu zinahimiza sana kushuhulikia msiba kwanza halaf ndio shuhuli. Sasa acha tumalizie msiba wa nitonye halaf nitahakikisha kamati inaundwa. Tegemeeni sapraiz kwenye kamati kwavile loya ni mtu mkubwa, unaweza ukaona david beckham kawekwa mgawaji kadi za mwaliko tu.
Sio rahisi Vin Diesel kutoroka, juzi nilimuona anaazima suti la harusi sehem sehem nikauchuna tu. Akitoroka this time hakuna nitonye wala vin kerosene, nakubeba mwenyewe. Halaf nimefungua duka la karolaiti watakuonea wivu kweli nikikuowa mimiHehehehehe!!!!!! Lawyer klorokwini ujue humu jf nakuamini wewe peke ako, sasa kabla nitonye hajaRIP nihakikishie kuwa Vin Diesel hatanitoroka tena, manake nisijekosa vyote lol....
Hahahahahahahah!!!!!!!!! klorokwini hapa nimevunja mbavu mbili lol........hakyanani siku ukijitoa jf nami najitoa....nimecheka sana.