I have been away for quite a long time....namshukuru Mungu kwa kumaliza yale yaliyoniweka mbali na JF.
Sasa nimerudi kwa nguvu zote hapa jukwaani...
Naomba mnikaribishe na mnipokee tena kama ilivyokuwa hapo nyuma
Pamoja sana
VD.
thanks dear one....Nimekuja na juice ya makomamanga kama anavyoshauri Ruta....
jioni njema kwako Blaki Womani....
Glass 3 kwa siku kwa ushauri Dr Ruta lol nguvu kama simba
Aaaahh kwa sana wangu, nilimisi kuiona hii avatar kitu Vin Diesel
Aaaahh kwa sana wangu, nilimisi kuiona hii avatar kitu Vin Diesel
karibu sana Vin Diesel ni wapi huko ambako mtandao unakomea border
welcome
Nashukuru sana RussianRoulette.....sasa nimekuwa mtaalamu wa hii mambo....naona kila siku JF inazidi evolve...
pale nilimaanisha my sisy AshaDii japo best yangu afrodenzi nae ni kitambo sijamsikia.....