beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Shem tulikumiss sana
Karibu ila mumeo alitaka kutafuta mke mwingine nkamzuia
Hajatafuta ila uwe unaaga eeh shemTabia ni kama ngozi huwezi ibadili kwakweli sijui atakavyoamua maana heshma kitu chabure mi ningeamuaga kumuacha kisa yeye hayupo ingekuwaje. Mi sina usemi
Shem tulikumiss sana
Karibu ila mumeo alitaka kutafuta mke mwingine nkamzuia
Nilichanganyikiwa na timetableHajatafuta ila uwe unaaga eeh shem
We muongo mkubwa! Wewe ndio kuwadi wake kwa naniliu nimtaje???
Thank uu so maykaribu mpenzi,pole na mitihan! mic u so april. . .
Maneno tuu hayo hata kwa kanga
ukinyimwa unyumba wiki tatu mfululizo ndo utajua kama haya maneno au maandishi...........chezeiyaaaaaa wanawake wa jf........ Anabebwa mgongoni siku hizi....
Analambwa na asali mpaka ice......
Naniliu zinawekwa kwenye kisosi....
Judgement kahonga hadi nyumba ya urithi.....
welcome mpendwa umepungua kilo ngapi UE simchezo kabisa:grouphug::grouphug:
pole sana msiposomeshwa mnalalamika haya umepewa kazi kwako keep it up,i wish you all the best:A S-rose:
my dears nimebanwa na UEs yani nataman kukimbia but mewamis saana hasa my beib judgement kwanza im sorry for any inconvinience has happened where ever u are pliiiz say something. N nimewamisin woote na mabo ya jf cl, junior, shem b52, madame,wengi wengi jaman leo nitashinda hapa kuanzia sa hiz na