Ilikuwaje TANU Ikasalimika na Udini?

Ilikuwaje TANU Ikasalimika na Udini?

Monster,
Waislamu hawakunufaika na utaifishaji wa shule za Kanisa.

Soma tena hotuba ya Kitwana Kondo kaweka takwimu.

Wizara ya Elimu haikuwa na majibu.
Kitwana Kondo hastahili kuwa point of reference, hakuwahi kuwa neutral linapokuja suala la dini. In case you don't know kuna watu walikuwa wanatoka mikoani kwenda Dar na kubadili majina wakitumia majina ya kiislamu kwakuwa majina ya kiislamu yalikuwa yanafanyiwa standardization kwenye marks zao ili kuweka at least some sort of balancing kitu ambacho kilikuwa kikishusha quality kwenye passmarks, waliosoma kwenye eighties wanalifahamu hili, tulisoma nao wengi Tambaza, Azania, Forodhani nk.
Mwamko wa elimu(ilmu dunia) haukuwepo kabisa katika jamii za makabila ya Pwani ambao majority ni Muslims.
 
Hapana shida nilitaka uyajue hayo si lazima uamini.
 
Abuu,
Wazee wetu waliona balaa lililoikumba India kwa kuingia katika kudai uhuru vyama vyao viwili Congress Party kikiwa chama cha Wahindu na Islamic League kikiwa chama cha Waislam.

Kila chama kinamtazama mwengine kama adui mkubwa.

Usiku 1947 wanashusha bendera ya Muingereza wanapandisha bendera ya India huru asubuhi vita vya wenyewe kwa wenyewe vinaanza.

Vikamalizika kwa kugawana ardhi kila mtu na kwao.

Ilikuwa Abdulwahid Sykes achukue uongozi wa TAA kama President 1953 na 1954 waunde TANU na wadai uhuru.

Hamza Mwapachu akamwambia Abdul chama cha TANU kitakuwa kama Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) kwani Waislam tumejazana katika siasa Wakristo wako pembeni.

Njia ya kuwavuta Wakristo watuunge mkono ni Julius Nyerere atiwe kwenye uongozi wa juu wa TAA 1953 na 1954 TANU inaundwa na Nyerere anaongoza harakati za kudai uhuru.

Wakristo wataingia TANU kwani hawataiona TANU kama chama cha Waislam.

Kinyume cha hivi Waingereza watawaambia Wakristo waunde chama chao kupambana na TANU chama cha Waislam.

Tanganyika ingeingia kudai uhuru ikiwa na vyama viwili hasimu vilivyojikita kwenye dini.

Bahati mbaya mno Nyerere akiogopa sana kueleza ukweli vipi juu ya ugeni wake Abdul Sykes alimshika mkono hadi kuwa kiongozi wa TAA 1953 na TANU 1954 na 1955 akazungumza UNO.

Leo Tanzania hali ndiyo hii ingekuwaje kama tungeingia kudai uhuru tumegawanyika kwa misingi ya Uislam na Ukristo.

Mwezi June, 1953 Makao Makuu ya TAA, New Street ilitangaza Kamati yake ya Utendaji: J. K. Nyerere, Rais, Abdulwahid Sykes, Makamu wa Rais; J. P. Kasella Bantu, Katibu Mkuu; Alexander M. Tobias na Waziri Dossa Aziz, Katibu wa muhtasari; Wajumbe wa kamati: Dr Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said Tewa, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo na Patrick Aoko.
Nyerere aliwafyekelea mbali walotaka kuleta mambo ya ki kubaz kwenye chama
 
Mzee mimi sio mjinga halafu mimi nimezaliwa katika jamii ambayo haina udini. Mtu kama wewe na hoja zako ni rahisi sana kubaini dhamira yako.

Lengo lako ni dhahiri sio kuelimishana ila unatumia huu mwanya kutengeneza narrative ya kibaguzi ili waislam wahisi kudhurumika na kunyanyasika.

Huu ni upandikizaji wa chuki ya wazi wazi. Kwa hili sitakuachia na nitakutangaza kwa huu uovu. Wewe na wale interahamwe wa RWANDA MASSACRE hauna tofauti.

Nimeshakopi hizi nyuzi zako na kuscreenshot vichwa vya hizi nyuzi kama ushahidi incase ukitaka kubadilika kuficha ushahidi.

Wewe sio mtu mzuri unataka kuwachonganisha raia kwa kuwapa sababu na hoja za kibaguzi ili waanze kutazamana kwa macho ya kubaguana. Wewe sio mtu mzuri kwa taifa.

Watu kama wewe ndio Nyerere alikuwa anawaweka kifungo cha ndani kwasababu mnapenda kuanzisha mijadala ya kibaguzi mkijifanya mnatafuta haki.

Wewe sio mtu mzuri narudia tena, wewe MZEEE NI MFITINISHAJI NA UNA ROHO MBAYA SANA YA UBAGUZI.
Tena huyu mzee anaonekana ana roho mbaya sana ya kibaguzi
 
Nyerere aliwafyekelea mbali walotaka kuleta mambo ya ki kubaz kwenye chama
Barakuda,
Andika kwa adabu na heshima hapa hatugombani wala huu si uwanja wa wahuni.

Nimekua toka udogo wangu na mashujaa hawa hadi sasa mimi mzee najua vizuri sana historia ya Mwalimu Nyerere na uhuru wa Tanganyika.

Mashujaa hawa karibu wote wameshatutangulia mbele ya haki.

Tulia ujifunze yale ambayo huyajui katika historia ya Tanganyika:

View: https://youtu.be/_pdFNCVzRtI?si=FnjdZJ_az0uWFiWw
 
Pambania nchi, imetekwa na genge la JIZI ma UAJI Abdul??

Waliopita walishafanya sehemu yao.

Au huoni??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom