Ilikuwaje baada ya kupata mpenzi mtandaoni?

Woow

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Huuu uzi una chekesha sana 😁😁😁😁😁

Anyway mjifunze kuwa na siri nyie watu 😃😅😬😬😬😬😬😬
 
Love is beautiful thing
 
Bhangi za chuga mbaya sana
 
Tulianzana FB, I never imagine kama tungeonanaga, kipindi hicho alikua huko nchi ya watu

Mawasiliano mdogo mdogo inaweza pita mamiezi hatujawasiliana, kisha tukapeana namba

Akanirushia wavu ila sikumuelewa kutokana na kwamba alikua mbali

Ikapita muda bila mawasiliano, siku ya siku napokea simu simu no ngeni kupokea ni yeye ananiambia amerudi bongo. Sahiyo yuko Dom mimi Arusha

Chatting za hapa na pale nikampotezea tena, miezi kadhaa kupita ananiambia amehamia Arusha kikazi

Japo tulikua mkoa mmoja ila miezi miwili baadae ndipo tukaonana kwa mara ya kwanza

Akaingiza ngonjera tena kiasi nikawa nimekubali kama sijakubali hivi

Kaka wawatu alikua mstaarabu na mtu poa sana ila kwa ubwege wangu sikumrudishia upendo alionionyesha nikaishia kutesa hisia zake

Sasa ameoa mimi nipo tu nazurura kama mbuzi aliekosa mchunga[emoji86]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
miki hua nawachana makavu mmapem kabisa. Sipendi kuremba mwandiko.
Kama anasomeka fresh, kama anarusha shanga anachapa lapa
 
Safi sana Mkuu, umejifunza kwa vitendo.. ngoja nije na mimi PM nitupie ndoano ikiwezekana Julai tufunge ndoa baby.!
 
Safi sana Mkuu, umejifunza kwa vitendo.. ngoja nije na mimi PM nitupie ndoano ikiwezekana Julai tufunge ndoa baby.!
Wanasema huwezi kujua thamani ya kitu mpaka pale utapokipoteza

Wapo watu maishani mwetu hatuzingatii umuhimu wao kwa wakati huo baadae unatamani kujirudisha kwenye himaya yao ila ndo hivo haiwezekani tena

Tujifunze kuthamini thamani yao wanapokua nasi kabla ya majuto kua mjukuu

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 

Mbona kama inafanania hii comment!? Ndio wewe kumbe upo huku.
 
Wewe sema ugonjwa ulikuathiri kuna aibu ulikwepa..!! 😹

Kuna kitu nilikua nafukunyua si nikaiona hii chai yako sabufa 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…