Hiyo bendi naikumbuka miaka ya 90 mwanzoni walikuwa wanakuja kila weekend kwetu mabibo kwenye ukumbi wa chabruma inn, enzi hizo ilikuwa na waimbaji kama Shabaan Dede, Eddy Sheggy, Fresh Jumbe n.k
Kama mkono ungeweza kushika sikio kwa kupitisha juu ya kichwa, tungekuwa darasa moja, bahati mbaya nili-attempt ikashindikana ikabidi nianze mwaka unaofuata