Ilikuwa mshikemshike siku hii

Ilikuwa mshikemshike siku hii

Pole kwa wana familia wote walio potelewa na ndg zao SEPT 11.
 
kabla ya kushabikia yaliyotokea 9-11 kumbuka yaliyotokea Dar 7 August 1998. Kumbuka wamatumbi wenzako waliopoteza maisha kwa vitu visivyowahusu asilani. halafu shabikia ugaidi
 
Back
Top Bottom