Ilikuwa kidogo nijinyonge...mapenzi bhana!

Ilikuwa kidogo nijinyonge...mapenzi bhana!

Nimepata kitu hapo mkuu.

Hivyo sababu kuu ni mioyo yetu kutofautiana.
exactly...wengine wanaamini kwamba kuna roho za kifo ambazo humjia mtu wakati kama huo na kumshawishi kujiondoa ulimwenguni ila hili la personal weakness ndio chanzo kikubwa.

ni jambo la kawaida kusikia watu wakisema "siwezi kujinyonga mie huo ni upuuzi"..hasa wanapofikiwa na ujumbe kwamba mtu fulani kajinyonga.but why do some of them end up the same way?..
 
Nilikuwa nishangae mkuu. Wivu usiukatae ndio kupendwa kwenyewe huko. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumegea exclusive info kidogo

Leo nimemaliza mwezi mmoja tangu nme break up na yule bi mdogo.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Aisee mimi wala sikupi maneno makali ukajiona huna thamani mwishowe ukajinyonga.

Yaani nakung'ata huku nakupulizia hivyo hata mawazo ya kujinyonga huwezi kuwa nayo mkuu.
Mkuu,unataka niwe Shetta?
 
Nakumegea exclusive info kidogo

Leo nimemaliza mwezi mmoja tangu nme break up na yule bi mdogo.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Leta ubuyu huyo...
 
Nakumegea exclusive info kidogo

Leo nimemaliza mwezi mmoja tangu nme break up na yule bi mdogo.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app

Hahaaa. Haya bana.

Pia pole mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
malizia story vizuri maana iinaone kana iko poa then uni tag. maana kisa kitamu sana
au weka full story kidogo
Mkuu,unataka nijinyonge?maana stori inaelekea huko...
 
Hahaaa. Umeona kaka ake ni kweli kabisa unachosema.

Za siku nyingi nzuri kaka. Nimekumiss sana aisee. Mzima weye?
Aisee nimeona na kutafakari sana dadake.

Me pia nimekumis mno dada maana ni kitambo tunapishana humu bila kuonana
 
Aisee nimeona na kutafakari sana dadake.

Me pia nimekumis mno dada maana ni kitambo tunapishana humu bila kuonana
Ni maamuzi magumu sana aisee.

Nipo sana kaka ake. Hatuna budi kumshukuru m'mungu kwa kutuwezesha kukutana pande hizi. Mie nipo kaka na mzima kabisa wa afya.
 
Ni maamuzi magumu sana aisee.

Nipo sana kaka ake. Hatuna budi kumshukuru m'mungu kwa kutuwezesha kukutana pande hizi. Mie nipo kaka na mzima kabisa wa afya.
Hakika lazima tushukuru kwa uzima huu tuliojaliwa, maana uzima ndio maendeleo ya kwanza ya mwanadamu dadake
 
Back
Top Bottom