Ilikuwa kidogo nijinyonge...mapenzi bhana!

Tena maombi yenyewe sio madogo
[emoji1] [emoji1] lkn unajua watu tupo tofauti sana kuna watu wana vifua vyepesi sana akiambiwa tu sikutaki tena anatafuta sumu ya panya ilipo
 
Hahaaaa. Hukuwa na mapenzi ya kweli ndio maana.

Ila kujinyonga kisa mapenzi. Kwa upande wangu bado aisee.
ni wimbi la hasira pamoja na mchanganyiko wa mawazo ambazo humsukuma mtu kujitia kitanzi...sio kwamba wewe na miakili yako timamu utataka ujinyonge..muda huo akili huwa zimetekwa na hisia.
 
Aisee. Kazi wanayo mana kiuhalisia kukataliwa kupo na hakukwepeki saa nyingine.
Mkuu,kwani na wewe unaweza kunikataa kweli mpaka nikaenda kujinyonga?[emoji9][emoji9]
 
ni wimbi la hasira pamoja na mchanganyiko wa mawazo ambazo humsukuma mtu kujitia kitanzi...sio kwamba wewe na miakili yako timamu utataka ujinyonge..muda huo akili huwa zimetekwa na hisia.
Ndio maana mkuu tunashauriwa kujaribu kuzizuia hasira.

Hivi kukataliwa tu ndio akili inatekwa kiasi hicho mkuu?
 
Sure ila wapo ambao hawakubali na hataki kuamini kuwa amekataliwa unamkuta jibaba na ndevu zake tena amenyoa timberland anafuta machozi kinoma
Bora huko kufuta machozi.

Kuliko hiyo eti mtu anatafuta kamba na kwenda kujinyonga kabisa kisa kukataliwa.
 
Ndio maana mkuu tunashauriwa kujaribu kuzizuia hasira.

Hivi kukataliwa tu ndio akili inatekwa kiasi hicho mkuu?
watu hutofautiana sana kwenye baadhi ya matukio....wapo wenye mioyo myepesi ambao kwa mambo ambayo kwako utayaona madogo,kwao ni bonge la challenge..kuna sehemu nilisikia wakiitwa "watu wa mshipa"yani yule mtu akiwa na hasira hawezi kabisa kujizuia au kujidhibiti kufanya maamuzi yenye hasara kubwa..utajibizana na mtu mara hasira zimempanda akanyanyua chochote kilicho karibu naye na kukuvamia..baada ya hasira kupyngua akaja kujutia.ni watu kama hawa ambao ni rahisi wao kuingia kwenye wazo la kujitia kitanzi na wakafanikisha..ila yule mtu ukimzuia kwa muda huo,hasira zikimwishia kichwani atakua ameshabadili mawazo yake.
 
malizia story vizuri maana iinaone kana iko poa then uni tag. maana kisa kitamu sana
au weka full story kidogo
 
watu hutofautiana sana kwenye baadhi ya matukio....wapo wenye mioyo myepesi ambao kwa mambo ambayo kwako utayaona madogo,kwao ni bonge la challenge..kuna sehemu nilisikia wakiitwa "watu wa mshipa"yani yule mtu akiwa na hasira hawezi kabisa kujizuia au kujidhibiti kufanya maamuzi yenye hasara kubwa..utajibizana na mtu mara hasira zimempanda akanyanyua chochote kilicho karibu naye na kukuvamia..baada ya hasira kupyngua akaja kujutia.ni watu kama hawa ambao ni rahisi wao kuingia kwenye wazo la kujitia kitanzi na wakafanikisha..ila yule mtu ukimzuia kwa muda huo,hasira zikimwishia kichwani atakua ameshabadili mawazo yake.

Nimepata kitu hapo mkuu.

Hivyo sababu kuu ni mioyo yetu kutofautiana.
 
Wivu umezidi mkuu

Natania bnaaa

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa nishangae mkuu. Wivu usiukatae ndio kupendwa kwenyewe huko. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom