DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Shuhudia mwenyewe hiyo picha...Mmezoea kuwagonga na viroba ili waje kwenye mikutano...ila sasa itabidi muwagonge tena viroba ili waende kupiga kura..I hope watakumbuka alama ya tick inapaswa kwenda kwa mgombea yupiKwani wahuni ndio hawapigi kura?Subiri uone watakavyowanyonyoa hapo October 25.
View attachment 290938