hili ni tusi kwa twaweza wajitathmini upya
Duu..nimempenda huyo dada..yan kanyooosha mkono mpk kwa lowasa wakati kuna box lingne lipo karibu.Yan me ubishi wangu tu kubaki ugambani ila lowasa anatisha!!!

View attachment 290778kuna habari mbaya za kukamatwa na police vijana walioendesha huu mchakato
Hapa ni wapi tena mkuu??