Kulikuwa na mgogoro cku za nyuma kwamba waislamu wanalazimisha kuwa wao ndo wana haki ya kuchinja....na wakristo wakisema sio lazima muislamu aje akuchinjie, hivi liliishaje hilo sakata? na nani waliopewa haki hiyo?
Msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.