Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

Nikuambie kitu kuhusu Dar bwana inamankusweke .

Zamani kwa mkoa wa Dar es salaam,maeneo kama magomeni ilikuwa ukitafuta chumba ukitaka jina lako john au Samuel hupati chumba, enzi hizo uislamu ulikuwa juu sana dar na mikoa ya pwani. Na kama unavyowajua waislamu ni Wana asili ya ubaguzi,ilikuwa balaa enzi hizo. Kama wewe ni mtu mzima unaweza kukumbuka sakata la waislamu kuwapiga na kuwabomolea wakristo wa kinondoni maduka yao ya nguruwe(butcher) kisa hawataki habari za ukafiri na kuuza nguruwe kino.

Vita ikaenda kuwaka ubungo baada ya wakristo wa kinondoni kukimbilia maeneo ya ubungo kutoa taarifa kuwa wakristo wa kinondoni wanapigwa na waislamu na wameapa wakiwamaliza wakristo wa maeno hayo wanaenda ubungo kukiwasha.

Wakristo wa ubungo wakajipanga "Hawa hatuwakimbii na fremu za kuuza nguruwe hatufungi,wake tutakabiliana nao na sisi tuna visu vya buchani".

Lile 'vagi' la ubungo kilikuwa balaa maana watu wengi walikufa na ukawa mwanzo wa serikali kutoa tamko wakristo waachwe wauze nguruwe huru maana hii siyo nchi ya kidini.

Ninachotaka kukuambia ni kuwa; uislamu ambao miaka hiyo ulikuwa juu,Leo Dar Ina watu milioni 7 na wengi wakiwa wahamiaji kutoka mikoani huwezi kuja na hoja ile ile ya miaka ya 80 eti waislamu wa Temeke ni wengi kuliko wakristo wa mkoa mzima wa Kilimanjaro.

Ulifanya lini sensa ya idadi ya waislamu Temeke? Mbona Temeke Kuna wakristo wengi sana. Au kwa sababu ya maeneo maarufu ambayo yamebaki kuwa duni kama kwa azizi aly,mtongani,tandika na mwembeyanga? Leo utasema kijichi na buza Ina waislamu wengi wakati ni miji mipya ya Jana tubna Ina watu mchanganyiko?

Narudia tena,idadi ya waislamu kuwa wengi Tanzania Iko overrated,labda mnandanganywa misikitini. Mikoa ya Bara mingi hawana habari na uislamu.
Suala la mabucha ya nguruwe kigogo ni akili zenu za kijinga,muuza bucha kampimia mtoto nyama ya nguruwe badala ya ng'omb
Umewahi kuishi Lindi? Nimekaa miaka 11.

Lete fact kuhusu uhalisia,maana Mimi umemiita muongo. Lindi ukiondoa Kilwa na liwale,sehemu zingine zilizo Baki waislamu wanaisabika.

Alafu nikuambie kitu kingine? Mkia wa Lindi ni Moja ya mikoa yenye watu wachache sana despite ni mkoa mkubwa kieneo. Hapo tunazidi kuelewa kuwa hata liwale na Kilwa zikiwa na waislamu 100% haziwezi kuzidi wilaya ya mbalali kule mbeya.

Bado hoja yako ya idadi ya waislamu kuwa wengi Bongo inazidi kukosa mashiko.
"Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location" Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
 
We jamaa upeo na elimu yako ndogo sana!!..wanaoongezeka wakiristo TU waislam hawaongezeki,tanu kabla ya uhuru ilizunguka nchi nzima,mkoloni aliyekua na uwakilishi Kila sehemu Alishindwa zunguka kufanya sensa!?..kipindi hicho mkwawa muislam wanyakyusa wapagani
Point ni wewe kuturudisha miaka zaidi ya 70 ambapo nchi nzima haikuzidi watu milioni kumi.

Mbaya zaidi unaketa stori za hear and say. Hujaja na ushahidi wa takwimu zako unazokomaa nazo humu.

Tujadili Leo na sasa maana ya zamani hauna takwimu zozote. Tunajadili maneno tu.
 
What's your point? Naona umeniwekea Wikipedia ya mbeya jiji.

Mkoa mzima wa mbeya una watu milioni 2.3 kwa sensa ya 2022.

Nakuuliza Tena,point ya kuniwekea hiyo link ni nini?
Mbeya mjini Kuna watu laki sita,na waislam humohumo,tmk Ina watu 1.6m
 
Point ni wewe kuturudisha miaka zaidi ya 70 ambapo nchi nzima haikuzidi watu milioni kumi.

Mbaya zaidi unaketa stori za hear and say. Hujaja na ushahidi wa takwimu zako unazokomaa nazo humu.

Tujadili Leo na sasa maana ya zamani hauna takwimu zozote. Tunajadili maneno tu.
Sasa Kama waislam walikua wengi si nao wanaendelea kuzaana wanaendelea kuwa wengi,au wamebadili dini kuwa wakiristo!?
 
Suala la mabucha ya nguruwe kigogo ni akili zenu za kijinga,muuza bucha kampimia mtoto nyama ya nguruwe badala ya ng'omb

"Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location" Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
Unaona unavyojipiga pini na hizi data zako unazoleta mwenyewe?

Kwenye hiyo link,Idadi ya watu wa wilaya ya temeke ni milioni Moja na laki 3(1.3 ml). Idadi ya watu wa mkoa wa Kilimanjaro ni milioni 1 na laki name(1.8 ml).

Idadi ya watu wa Temeke Ina mchanganyiko wa dini kwa kiasi kikubwa kuliko idadi ya watu wa mkoa mzima wa Kilimanjaro.

Hapa namaanisha; pengine tukichukua hesabu za 'kuhisi' kwamba waislamu ni wengi Temeke ,let's say aslimia 60/100 ni Waislamu na iliyobaki 40/100 ni wakristo,Bado haiwezi kuibeat Kilimanjaro ambayo zaidi ya 70% ni wakristo.

Sasa unaona ukweli unavyozidi kudhihilika?

Nilikutahadharisha kule juu kuwa uaitoe ulinganisho wa wilaya ya temeke na mkoa mzima wa Kilimanjaro. Utakuwa unadanganya!
 
Sasa Kama waislam walikua wengi si nao wanaendelea kuzaana wanaendelea kuwa wengi,au wamebadili dini kuwa wakiristo!?
Kuna kosa la kimantiki unalifanya kwa kutojua nadhani.

Ni hivi;

Unapongelea "uislamu unakuwa Ulaya" unaelewa maana yake? Ni kwamba hapo kabla dini ambayo ni dominant ni ukristo,siku zimeenda na sasa Kuna ujio wa dini mpya (uislamu) maana yake Kuna idadi ya wakristo inamegwa kwa kuhamia dini mpya.

Sasa tukirudi Tanzania,mikoa uliyoitaja ni Ina waislamu wengi,Leo imekuwa tofauti maana uislamu umekuwa "dluted' kwa kuingia dini mpya(ukristo),kwa hiyo ile hesabu ya zamani ya waislamu ni wengi inafifia maana hayo maeneo mfano Dar na pwani Kuna ujio wa dini mpya ambayo ni ukristo (coz zamani haukuwepo huo ukristo). Na Kuna watu wamemegwa na kuingia dini hiyo.

So,Leo hatuwezi kuja na conclusion kuwa uislamu upo juu Tz kwa takwimu za 57 (ambazo nazo hazina ushahidi maana hujaja na fact,umetoa opinion tu).

Nimejaribu kukuelezea kwa lugha rahisi uelewe.
 
Sasa Kama waislam walikua wengi si nao wanaendelea kuzaana wanaendelea kuwa wengi,au wamebadili dini kuwa wakiristo!?
Au mfano mzuri ili unielewe zaidi ni huu;

Nchi ya Saudi Arabia ambayo ni kitovu cha uislamu duniani,idadi ya watu ni milioni 37.

Idadi ya wakristo ni milioni Sita(6 milioni) na hapo wanaminywa sana,hawako huru kuabudu na hawaruhusiwi kujenga makanisa.

Nchi ya marekani ambako Kuna uhuru uliopitiliza,idadi ya watu ni zaidi ya miloni 300.

Idadi ya waislamu US ni miloni 2 ambapo ni 1% ya population,na hapo waislamu wanajinasibu uislamu unakuwa US na makelele Kila Kona humu mitandaoni na misikitini lakini hawasemi ukristo unazidi kukua kwenye kitovu cha dini yao,kule ambako Kila mwaka wanaenda kufanya utalii wa dini(kuhiji). Tena ukristo unakua Saudi Arabia kuliko uislamu unavyokua marekani.

Huu ukweli mchungu hamsemi kwenye korido za misikiti na mitandaoni.

Na siku mkiacha fair play kwenye nchi za kiarabu,mkaacha uhuru wa kuabudu,nakuambia hizo takwimu za "uislamu unakuwa kwa Kasi duniani" zitazikwa, maana mambo yataenda kuwa chini juu,juu chini.

Sasa hikinnilichokiongea kirudishe Tanzania ambapo idadi ya waislamu miaka ya 80 kurudi nyuma ilikuwa juu mikoa ya pwani(pengine ni zaidi ya 90%). Leo ukristo umeingia sana maeneo hayo na Kuna makanisa mengi na wakristo wengi sana mfano Tanga. Kwa hiyo tunasema ukristo umekuwa maeneo hayo ambapo awali kilikuwa hakuna ukristo.

Now u feel me?
 
Sasa tofauti ya ushia na ukristo ni nini? Ni dini ya ushia inaporomoka. Sifa zote njema zinamstahiki Allah.

Kuporomoka kwa ushia huko Iran hakuudhuru chochote Uislam.

Allah aupe nguvu tena Uislam katika nchi ya Iran.
 
Sensa ya 1958 inayoonesha waislam ni 66%,hii marehem mrema anajua,akiitumia majukwaani siasa za 1995,alisema waislam ni zaidi ya 56%,mtei mwenye chadema na governor bot ya Nyerere alisema lipumba akitumia uislam wake anaenda ikulu,wanajua
Umeshamaliza kusimulia fasihi simulizi yako?
 
Unapongelea "uislamu unakuwa Ulaya" unaelewa maana yake? Ni kwamba hapo kabla dini ambayo ni dominant ni ukristo,siku zimeenda na sasa Kuna ujio wa dini mpya (uislamu) maana yake Kuna idadi ya wakristo inamegwa kwa kuhamia dini mpya.
Uislam ukifika Ulaya na Marekani kitu cha kwanza unakeketwa na kuwa vile wenyeji watakavyo.
Ndiyo maana kule hata Mwanamke anakuwa Iman na anasalisha wanaume au South Afrika hapo na nchi kadhaa za Ulaya amba zina Maimam Mashoga
 
Sasa tofauti ya ushia na ukristo ni nini? Ni dini ya ushia inaporomoka. Sifa zote njema zinamstahiki Allah.

Kuporomoka kwa ushia huko Iran hakuudhuru chochote Uislam.

Allah aupe nguvu tena Uislam katika nchi ya Iran.
Screenshot_20240402-205401~2.png
 
Back
Top Bottom