Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,136
- 34,108
Usishangae hilo tu, tazama na hii
Nimekujibu.Huna Cha kuniambia kuhusu dar es salaam,mbeya Ina watu wangapi kwa sensa ya 2022?
Suala la mabucha ya nguruwe kigogo ni akili zenu za kijinga,muuza bucha kampimia mtoto nyama ya nguruwe badala ya ng'ombNikuambie kitu kuhusu Dar bwana inamankusweke .
Zamani kwa mkoa wa Dar es salaam,maeneo kama magomeni ilikuwa ukitafuta chumba ukitaka jina lako john au Samuel hupati chumba, enzi hizo uislamu ulikuwa juu sana dar na mikoa ya pwani. Na kama unavyowajua waislamu ni Wana asili ya ubaguzi,ilikuwa balaa enzi hizo. Kama wewe ni mtu mzima unaweza kukumbuka sakata la waislamu kuwapiga na kuwabomolea wakristo wa kinondoni maduka yao ya nguruwe(butcher) kisa hawataki habari za ukafiri na kuuza nguruwe kino.
Vita ikaenda kuwaka ubungo baada ya wakristo wa kinondoni kukimbilia maeneo ya ubungo kutoa taarifa kuwa wakristo wa kinondoni wanapigwa na waislamu na wameapa wakiwamaliza wakristo wa maeno hayo wanaenda ubungo kukiwasha.
Wakristo wa ubungo wakajipanga "Hawa hatuwakimbii na fremu za kuuza nguruwe hatufungi,wake tutakabiliana nao na sisi tuna visu vya buchani".
Lile 'vagi' la ubungo kilikuwa balaa maana watu wengi walikufa na ukawa mwanzo wa serikali kutoa tamko wakristo waachwe wauze nguruwe huru maana hii siyo nchi ya kidini.
Ninachotaka kukuambia ni kuwa; uislamu ambao miaka hiyo ulikuwa juu,Leo Dar Ina watu milioni 7 na wengi wakiwa wahamiaji kutoka mikoani huwezi kuja na hoja ile ile ya miaka ya 80 eti waislamu wa Temeke ni wengi kuliko wakristo wa mkoa mzima wa Kilimanjaro.
Ulifanya lini sensa ya idadi ya waislamu Temeke? Mbona Temeke Kuna wakristo wengi sana. Au kwa sababu ya maeneo maarufu ambayo yamebaki kuwa duni kama kwa azizi aly,mtongani,tandika na mwembeyanga? Leo utasema kijichi na buza Ina waislamu wengi wakati ni miji mipya ya Jana tubna Ina watu mchanganyiko?
Narudia tena,idadi ya waislamu kuwa wengi Tanzania Iko overrated,labda mnandanganywa misikitini. Mikoa ya Bara mingi hawana habari na uislamu.
"Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location" Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and LocationUmewahi kuishi Lindi? Nimekaa miaka 11.
Lete fact kuhusu uhalisia,maana Mimi umemiita muongo. Lindi ukiondoa Kilwa na liwale,sehemu zingine zilizo Baki waislamu wanaisabika.
Alafu nikuambie kitu kingine? Mkia wa Lindi ni Moja ya mikoa yenye watu wachache sana despite ni mkoa mkubwa kieneo. Hapo tunazidi kuelewa kuwa hata liwale na Kilwa zikiwa na waislamu 100% haziwezi kuzidi wilaya ya mbalali kule mbeya.
Bado hoja yako ya idadi ya waislamu kuwa wengi Bongo inazidi kukosa mashiko.
"Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location" Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and LocationNimekujibu.
Sensa ya 2022 mbeya Ina idadi ya watu milioni 2.3
Point ni wewe kuturudisha miaka zaidi ya 70 ambapo nchi nzima haikuzidi watu milioni kumi.We jamaa upeo na elimu yako ndogo sana!!..wanaoongezeka wakiristo TU waislam hawaongezeki,tanu kabla ya uhuru ilizunguka nchi nzima,mkoloni aliyekua na uwakilishi Kila sehemu Alishindwa zunguka kufanya sensa!?..kipindi hicho mkwawa muislam wanyakyusa wapagani
Mbeya mjini Kuna watu laki sita,na waislam humohumo,tmk Ina watu 1.6mWhat's your point? Naona umeniwekea Wikipedia ya mbeya jiji.
Mkoa mzima wa mbeya una watu milioni 2.3 kwa sensa ya 2022.
Nakuuliza Tena,point ya kuniwekea hiyo link ni nini?
Yaap kabisa, naye Ukafiri unamsumbuaumemsahau BIG SHOW
Sasa Kama waislam walikua wengi si nao wanaendelea kuzaana wanaendelea kuwa wengi,au wamebadili dini kuwa wakiristo!?Point ni wewe kuturudisha miaka zaidi ya 70 ambapo nchi nzima haikuzidi watu milioni kumi.
Mbaya zaidi unaketa stori za hear and say. Hujaja na ushahidi wa takwimu zako unazokomaa nazo humu.
Tujadili Leo na sasa maana ya zamani hauna takwimu zozote. Tunajadili maneno tu.
waislamu wanahamia ulaya kama wakimbiziUislam unakua kwa kasi huko ulaya
Unaona unavyojipiga pini na hizi data zako unazoleta mwenyewe?Suala la mabucha ya nguruwe kigogo ni akili zenu za kijinga,muuza bucha kampimia mtoto nyama ya nguruwe badala ya ng'omb
"Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location" Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
Na wakristo humo humo.Mbeya mjini Kuna watu laki sita,na waislam humohumo,tmk Ina watu 1.6m
Kuna kosa la kimantiki unalifanya kwa kutojua nadhani.Sasa Kama waislam walikua wengi si nao wanaendelea kuzaana wanaendelea kuwa wengi,au wamebadili dini kuwa wakiristo!?
Au mfano mzuri ili unielewe zaidi ni huu;Sasa Kama waislam walikua wengi si nao wanaendelea kuzaana wanaendelea kuwa wengi,au wamebadili dini kuwa wakiristo!?
Umeshamaliza kusimulia fasihi simulizi yako?Sensa ya 1958 inayoonesha waislam ni 66%,hii marehem mrema anajua,akiitumia majukwaani siasa za 1995,alisema waislam ni zaidi ya 56%,mtei mwenye chadema na governor bot ya Nyerere alisema lipumba akitumia uislam wake anaenda ikulu,wanajua
Uislam ukifika Ulaya na Marekani kitu cha kwanza unakeketwa na kuwa vile wenyeji watakavyo.Unapongelea "uislamu unakuwa Ulaya" unaelewa maana yake? Ni kwamba hapo kabla dini ambayo ni dominant ni ukristo,siku zimeenda na sasa Kuna ujio wa dini mpya (uislamu) maana yake Kuna idadi ya wakristo inamegwa kwa kuhamia dini mpya.
Lete evidence acha porojoSensa ya 1958 inayoonesha waislam ni 66%,hii marehem mrema anajua,akiitumia majukwaani siasa za 1995,alisema waislam ni zaidi ya 56%,mtei mwenye chadema na governor bot ya Nyerere alisema lipumba akitumia uislam wake anaenda ikulu,wanajua
Acheni uroho.Suala la mabucha ya nguruwe kigogo ni akili zenu za kijinga,muuza bucha kampimia mtoto nyama ya nguruwe badala ya ng'omb
"Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location" Temeke Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
Sasa tofauti ya ushia na ukristo ni nini? Ni dini ya ushia inaporomoka. Sifa zote njema zinamstahiki Allah.
Kuporomoka kwa ushia huko Iran hakuudhuru chochote Uislam.
Allah aupe nguvu tena Uislam katika nchi ya Iran.