Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,146
- 48,382
Tangu zama za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa Rais wa Tanzania, mpaka Sasa Samia Suluhu akiwa Rais, wazee wa Dar es salaam wamekuwa wanapewa kipaumbele.
Inaonekana mara kadhaa Rais wa Tanzania anapotaka kuzungumzia jambo muhimu Kwa taifa hukutana na wazee wa Dar es salaam.
Sasa ili uwe na sifa ya kuitwa Mzee wa Dar es salaam inatakiwa uwe na sifa zipi?