Ili upate pesa inabidi uwe na pesa

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Mipango mbalimbali ya kimaendeleo huwa inakwama kutokana na ukosefu wa pesa.

Umaskini ni adhabu kubwa sana pia umaskini unadhalilisha mno.

Ni ngumu sana kutoboa kimaisha ukiwa maskini na hata kwenye kusoma huwezi kusoma kwa raha kutokana na umaskini.

Pesa hufuata pesa nyenzake ilipo.
 
Ni kwel lakin not always true..Ni just a fact but hik sio kigezo cha wewe kuendelea kuwa masikin kisa huna pesa.

Nilikua siamin but now mimi najionea kwangu mwenyewe how unaweza tengeneza pesa just ukiwa na ujuzi tu endapo utaamua kuutafutia soko.

People are need out there.Just find out what they need and see if you can provide
 
Reactions: _ly
Ujuzi unahitaji vifaa, unahitaji pesa kuuendeleza.
 
motivesheni spika na blah blah kibao
bila pesa, izo skills zako = null
 
Kwa huu msoto ninaopitia sijui tu. Always nasema hivi ni ngumu sana mtu kuanzia from scratch yani huna maisha mpaka upate hela ya kujitegemea sio rahisi.
 
kumbuka huu msemo :"mwenye nacho hata zidi kuwa nacho"
 
Inategemea na mazingira ya mahali ulipo na shughuli zilizopo!
 
Kwa huu msoto ninaopitia sijui tu. Always nasema hivi ni ngumu sana mtu kuanzia from scratch yani huna maisha mpaka upate hela ya kujitegemea sio rahisi.
Unachekesha wew! siku ukijua hakuna anaewaza kuhusu maisha yako zaidi yako utafuta hiyo kauli.
 
Unachekesha wew! siku ukijua hakuna anaewaza kuhusu maisha yako zaidi yako utafuta hiyo kauli.
Nalijua ilo tokea zamani sana ndio maana napambana usiku na mchana kutoboa. Ila msoto naopitia nikiangalia na wanaonizunguka unanifanya niwe mgumu zaidi na independent kwao. Siwazi kuhusu msaada wa mtu Mkuu
 
Safi inatakiwa usimtegemee mtu na kuendeleza mapambano kikubwa uhai na uzima.
 
Ujuzi uliupataje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…