Ili Tatizo La Avatar Ni Kwangu Tu ?

Ili Tatizo La Avatar Ni Kwangu Tu ?

Fourier

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
218
Reaction score
76
Tangia Niingie JF Nimekuwa Nikijaribu Ku' Upload Picha Kwenye Profile Yangu Bila Mafanikio Yeyote, Kubwa Zaidi Kila Nikitaka Kupost Picha (iyo post) haifanikiwi pia...
Ili Tatizo Ni Langu Tuu Au Hata Wenzangu Msiokua Na Avatar Mumelipata Pia
 
ilo litakua lakwako tatizo! izo picha zna ukubwa gan? unazozweka?
 
ilo litakua lakwako tatizo! izo picha zna ukubwa gan? unazozweka?

Inafika 200 kb.... Lakin Mkuu Wakat Wamebadilisha Ile JF YaMwaka Mpya Ilikubali Kukaa Lakin Wameleta Hii Ya Zaman Tatizo Limerud Tena
 
Inafika 200 kb.... Lakin Mkuu Wakat Wamebadilisha Ile JF YaMwaka Mpya Ilikubali Kukaa Lakin Wameleta Hii Ya Zaman Tatizo Limerud Tena


Avatar wame zilimit not up to 195KB if ain't mistaken.
 
Inafika 200 kb.... Lakin Mkuu Wakat Wamebadilisha Ile JF YaMwaka Mpya Ilikubali Kukaa Lakin Wameleta Hii Ya Zaman Tatizo Limerud Tena
ndo maana inagoma! may be usubirie upgrade ya jf lakin kwa sasa The maximum size of your custom image is 100 by 100 pixels or 73.2 KB (whichever is smaller). io image yako kubwa kaka!
 
Back
Top Bottom