Kakati
Senior Member
- Apr 11, 2009
- 167
- 47
Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha.
Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au anayewakazia macho na kuwakabili? Na je nani anaweza kutuelekeza huko kati ya Magufuli na Lissu.
Tusijidanganye, Magufuli ndiye anayeweza hili. Kama una mawazo tofauti tuambie.