SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,103
- 75,549
Kugushi vyeti.
Hata kindagateni ila uwe na vyeti safi usifoji.... umesikia JINGAWakuu hebu tuelimishane....ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kkiwango gani?
Na usifoji vyetiAjue kusoma na kuandika.
elimu kama yakoWakuu hebu tuelimishane....ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kkiwango gani?
Umefoji na wewe ?Kamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha mkuu wa mkoa sio cha kuomba, ni kuteuliewa, mlaumuni aliemteua akaacha kuangalia vyeti, yeye hakuomba kazi, hiyo. Yeye katajwa na kuombwa kufanya kazi hiyo, sasa Nani alikuambia aliambiwa alete cheti cha. Form four, ? Ebaba eh huyu jamaa ni mchapa kazi tu, we acha mambo ya cheti, ukiona utufurahishe tulete photocopy tujiridhishe ili tuanze kumjaji makonda, kaacheni kadogo kapumzike, MAKONDA OYEEE
Kwahio mtu wa namna hio akibainika kaghushi cheti si anashtakiwa Mahakamani? Mbona Lisu hajakimbilia Mahakamani kama kweli Makonda kaghushi cheti ili achukuliwe hatua????Kiwango chochote cha elimu dunia ambayo haijaambatana na kughushi kwa vyeti!! Remember, mtu akigushi cheti cha elimu atakuwa ameghushi na cheti cha kuzaliwa vile vile!!!
sikiliza hii ndo utajua..Wakuu hebu tuelimishane....ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kkiwango gani?
Umefunga mjadala...hadi hapo watakapotuletea uthibitisho. Wamelianzisha wao sasa wanataka Makonda athibitishe kwani yeye hajui kuwa vyeti vyake ni sahihi???Kamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha mkuu wa mkoa sio cha kuomba, ni kuteuliewa, mlaumuni aliemteua akaacha kuangalia vyeti, yeye hakuomba kazi, hiyo. Yeye katajwa na kuombwa kufanya kazi hiyo, sasa Nani alikuambia aliambiwa alete cheti cha. Form four, ? Ebaba eh huyu jamaa ni mchapa kazi tu, we acha mambo ya cheti, ukiona utufurahishe tulete photocopy tujiridhishe ili tuanze kumjaji makonda, kaacheni kadogo kapumzike, MAKONDA OYEEE
Bashite lingine hili hapa....Kwahio mtu wa namna hio akibainika kaghushi cheti si anashtakiwa Mahakamani? Mbona Lisu hajakimbilia Mahakamani kama kweli Makonda kaghushi cheti ili achukuliwe hatua????
Bavicha vipiiiii
Ingalau uwe na shahada moja ila inapendeza ukiwa na shahada ya uzamili pamoja ni cheo cha kuteuliwa utakutana na vichwa vingine utapata inferiority complex ....Wakuu hebu tuelimishane....ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kkiwango gani?
Kamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha mkuu wa mkoa sio cha kuomba, ni kuteuliewa, mlaumuni aliemteua akaacha kuangalia vyeti, yeye hakuomba kazi, hiyo. Yeye katajwa na kuombwa kufanya kazi hiyo, sasa Nani alikuambia aliambiwa alete cheti cha. Form four, ? Ebaba eh huyu jamaa ni mchapa kazi tu, we acha mambo ya cheti, ukiona utufurahishe tulete photocopy tujiridhishe ili tuanze kumjaji makonda, kaacheni kadogo kapumzike, MAKONDA OYEEE