ili kupewa misaada, inabidi wanaume kwa wanaume waoane

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,211
hapa wamefika mbali, nilikua nawait niskie wenye Tanzania watasemaje, thanks God wamepinga! eti wana jf mnasemaje?
 
hapa mie naanza kupaki mabegi yangu na kuanza kutafuta nchi ya kukimbilia maana wakikata msaada na sie 50% ya budget wao ndio wafadhili...wewe unadhani hapa itakuwaje?
ah hapa maisha kwisha haribika.

like seriously mie nachukia sana pale ambapo watu wanajidai wana maadili kumbe wizi mtupu!!!
kama tunasema kuwa ushoga ni wrong kulingana na religious wrtings basi pia tukemee vile vile kupitiana mbavuni na pia watu kuchachuana bila ndoa.
sasa kuanzia sasa tuweke sheria kuwa yoyote atakaye fumwa au atakaye kutwa anafanaya sex bila kuwa wameoana ni kunyongwa tuu kama tunavyonga mashoga. hapo wsasa kweli tunaweza sema kuwa misada yenu hatutaki kwak kuwa sie tuna maadili bora!!!
 
Nahisi unafikiria kiungo kingine tofauti na Ubongo, pumba tupu
 
haya bwana nyie mnaofikiria na ubongo.....mie yangu macho...someone will cry i dnt know who!!!
 
hapa mie naanza kupaki mabegi yangu na kuanza kutafuta nchi ya kukimbilia maana wakikata msaada na sie 50% ya budget wao ndio wafadhili...wewe unadhani hapa itakuwaje?
ah hapa maisha kwisha haribika.

like seriously mie nachukia sana pale ambapo watu wanajidai wana maadili kumbe wizi mtupu!!!
kama tunasema kuwa ushoga ni wrong kulingana na religious wrtings basi pia tukemee vile vile kupitiana mbavuni na pia watu kuchachuana bila ndoa.
sasa kuanzia sasa tuweke sheria kuwa yoyote atakaye fumwa au atakaye kutwa anafanaya sex bila kuwa wameoana ni kunyongwa tuu kama tunavyonga mashoga. hapo wsasa kweli tunaweza sema kuwa misada yenu hatutaki kwak kuwa sie tuna maadili bora!!!

Mzabzab comment yako ina ujumbe but sidhani kama umemaanisha ulichokiandika! Hivi unataka kutuambia kupinga ushoga sio fair kwa ivo wahalalishe tu kwa sababu kuna mambo mengi yaliyo kinyume na maadili yanafanyika?? Kwamba tutakufa na njaa?? Are you serious dear! Ukimuona mwanao/ndugu yako amekuwa shoga/lesbian, utamchukuliaje??
 
mimi ninachopinga ni double standards.....unatumia neno la mungu kuhukumu a certain type or pratice na unatumia ujuzi wa mwanadamu kuhalalisha practice nyingie.

hapa tusilete za kuleta mbona saudi wana piga mawe wazinifu and the like na pia mashoga nao wanapigwa mawe....hapo kweli wakisema wao wanafuata neno la mungu siwezi bishi maana wanatumie benchmark hiyo hiyo kujudge hizo practices.

ebwana wewe kaa kweli hawa wanakata msaada unadhani tunapona hapa...hamna lolote african union yenyewe tapatapa tuu....pamoja na msaada mgao upo na bei zazidi panda sasa wachukuwe hayo mabilion yao kweli tutaishi? bora mabushman wajikataliaga toka mwanzo...sie tuacheni hivi hivi na ushanba wetu...so hawanashida yakutiliwa vitisho.

ebwana wee kama mtoto wangu kawa shoga basi mimi mzazi ni wakulaumu maana nimeshindwa kumlea huyo mtoto. kama ndugu basi ni lazima nimlauu huyo mzazi w ndugu yangu kwa kuwa kashindwa pia kufanya malezi mema

wivi ni wizi tuu haijalishi kama ni ndugu au total stranger ....tumia standard moja kwa kujudge whether kitu ni right or wrong sio watapatapa tuu!!!!
 
mimi ninachopinga ni double standards.....unatumia neno la mungu kuhukumu a certain type or pratice na unatumia ujuzi wa mwanadamu kuhalalisha practice nyingie.

hapa tusilete za kuleta mbona saudi wana piga mawe wazinifu and the like na pia mashoga nao wanapigwa mawe....hapo kweli wakisema wao wanafuata neno la mungu siwezi bishi maana wanatumie benchmark hiyo hiyo kujudge hizo practices.

OK, umetoa mfano wa saudi kwamba wao wanawapiga mawe mashoga na wazinifu. Kumbuka kwamba ile ni religious state thats why mambo mengi yahusuyo maisha ya raia wa kule yamebase kidini zaidi na hata judgements zao!! Iangalie Africa hususani Tz na jamii zake, then pima hivi vitu viwili ushoga na uzinifu, ndo utapata jibu kwamba wazinifu waweza pondwa mawe!! Hayo mambo ya umoja wa Africa plus the economic status sitayaongelea sana for yapo kisiasa zaidi, kule kwa gadaffi ni jibu tosha kabisa!!
 
Kama ni misaada sijawaifaidi hata nukta wanafaidi mabush loyer wa ccm, hivyo naikae. Nadhani wakati umefika ziara za viongozi serikalini ziwe zinapitishwa na bunge kabla ya kufanyika na baada ya kufanyika, ili tujue kama zina tija kwa taifa ama zinalifilisi taifa. Nahoji ziara ya Rais kikwete na ujumbe wake ya hivi majuzi nchini Australia ina tija gani kwa taifa? Ziara hii imeligarimu taifa, inaligarimu taifa, na italigarimu taifa! Bunge chunguzeni hawa wahuni waregeshe pesa zetu! Ushoga wafanye wao na wakubwa wao huko uingeza.
 
Niujinga na ubonzo wa aina gani Rais wa nchi na ujumbe wake kuambiwa wahalalishe ushoga? Kwanza dini yake hairuhusu, pili maadali ya nchi hii hayaruhusu, tatu ni utindio wa ubongo kumsikiliza chizi mwendawazimu david camerun wa uingereza. Mtu akuite akuambie nimekusaidia vyakutosha nimechua nimekukoloni nimkutesa nimekufanya mtumwa nimechukua mali zako nikajenga nazo kwangu, na sasa nataka nikufire wewe na watu wako ndo niendelee kukupa misaada. Duh! Ukishangaa ya musa utaona ya farao.
 
sasa mipipi wewe hujatulia. sisi argument yetu ni kwamba sie ushova ni againzt maadili yetu...lakini unasahau ya kuwa basis ya hayo maadili ni vituba vya dini. na hapa bongo tuna muslims na christians na pande zote hizo uona ushoga na uasherati na uzinzi kuwa sio maadili mema sasa lama tunatumia hizo kama kipima maadili basi lazima tukubali kuwa punishment lazima ziwe sawa.

zanzibar has majority muslims y dnt they adopt saudi policy na presida wa znz ni muslim and anasema kuwa ushoga nt gud .....fine basi piga kele kuwa uzinzi na uasherati ni kitu kibaja na sio maadili mema.....but knw they just keep quite...we are vahemently against homosexuality we shuld also be vehemently against premarital sex an sexual affairs only then cn u claim to be moral people bible au quran haichagui kama wewe saudi arabia au wewe african.
 
Kama ni misaada sijawaifaidi hata nukta wanafaidi mabush loyer wa ccm, hivyo naikae. Nadhani wakati umefika ziara za viongozi serikalini ziwe zinapitishwa na bunge kabla ya kufanyika na baada ya kufanyika, ili tujue kama zina tija kwa taifa ama zinalifilisi taifa. Nahoji ziara ya Rais kikwete na ujumbe wake ya hivi majuzi nchini Australia ina tija gani kwa taifa? Ziara hii imeligarimu taifa, inaligarimu taifa, na italigarimu taifa! Bunge chunguzeni hawa wahuni waregeshe pesa zetu! Ushoga wafanye wao na wakubwa wao huko uingeza.

U have a point!! Watu wengine wakichimbwa mkwara kidogo tu, washaogopa!! Ukiangalia kiundani zaidi, hiyo common wealth imetusaidia au imejisaidia?? Ok, kwa viduchu vilivyotoka, vimeishia mikononi mwa minority, hata hiyo bajeti anayoisema mzabzab, ni lini imemfikia mlengwa?? Mashinikizo mengine hayajakaa kimaadili wala haki za binadamu, ni usanii mtupu!!
 
sasa mipipi wewe hujatulia. sisi argument yetu ni kwamba sie ushova ni againzt maadili yetu...lakini unasahau ya kuwa basis ya hayo maadili ni vituba vya dini.

Samahani kama nitakukwanza, ila naomba tuanzie hii paragraph yako ndo tutaelewana!! Nakubali kuwa ushoga ni against maadili yetu, but I strongly disagree with u unaposema kuwa THE BASIS of these moral standards(kupinga ushoga) ni vitabu vya dini (christians &muslims)!! Do you mean African traditional religion recognized ushoga before hata useme tunapinga ushoga kwa shinikizo la vitabu vya dini?? Feel free kunielewesha ambapo unahisi sijakuelewa! Btw, hilo jina la mipipi uliloniita umemaanisha au just kuteleza?
 
Wakiikata hiyo misaada nitafurahi sana!

Na ninaombea waikate. Na wengine wanaotupa misaada nao naombea waikate yote.
 
Wakiikata hiyo misaada nitafurahi sana!

Na ninaombea waikate. Na wengine wanaotupa misaada nao naombea waikate yote.

Misaada yote inaishia kwa mafisadi hivyo hata wakikata 100% wananchi hawataona athari yoyote ile ya kutisha, bali mafisadi ndio watakiona cha moto.
 
Misaada yote inaishia kwa mafisadi hivyo hata wakikata 100% wananchi hawataona athari yoyote ile ya kutisha, bali mafisadi ndio watakiona cha moto.

Mkuu, ile foka ya Membe ina maana yoyote kwa nchi iliyofunga milango yote ya ufahamu kwenye "KUJITEGEMEA"...?
 
Back
Top Bottom